ULEGA AAGIZA UCHUNGUZI WATENDAJI WA BRT AWAMU YA NNE
• Ataka ripoti ya wasimamizi na washauri wote• Akerwa na uzembe wao unaosababisha misongamano• Aeleza jinsi Rais Samia anavyoumia kwa foleni mijini Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kupelekewa taarifa kamili za wasimamizi na mshauri mwelekezi wa ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) Awamu ya Nne baada ya kushuhudia uzembe […]
Read More