
Waziri Ujenzi, Innocent Bashungwa amewahakikishia Wananchi wa Wilaya Mpwapwa kuwa Serikali ipo mbioni kusaini mkataba wa Ujenzi kwa kiwango cha lami Barabara ya Kongwa Jct- Ng’ambi -Mpwapwa yenye kilometa 32.
Bashungwa ameeleza hayo kwa njia ya simu wakati alipotakiwa kutoa ufafanuzi na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa – UWT, Mama Mery Chatanda wakati akiongea na wananchi katika ziara yake wilayani Mpwapwa
“Ujenzi wa kiwango cha lami wa barabaa ya kuunganisha wilaya ya Kongwa na Mpwapwa imegawanywa katika sehemu mbili, sehemu ya kwanza ni km 32 ambayo tumeshampata mkandarasi Estim Construction Company ambapo mkataba utasainiwa hivi karibuni” amesema Bashungwa
Aidha, Bashungwa ameeleza pia Barabara ya Mpwapwa- Gulwe -Kibakwe yenye Kilometa 46 ipo katika hatua ya manunuzi kwa ajili ya kumpata Mkandarasi wa kujenga barabara hiyo kwa kiwango cha lami.
Ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan anafahamu kilio cha Wananchi hao na ameshatoa Maelekezo ya kuhakikisha barabara hizo mbili muhimu zinajengwa kwa kiwango cha lami.
Nae, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa – UWT, Mama Merry Chatanda amemtaka Waziri Bashungwa kuhakikisha mikataba hiyo ya ujenzi wa barabara hizo unasainiwa mbele ya wananchi pindi taratibu zitakapokamila.
“Nakuomba Mheshimiwa Waziri, mtakapokamilisha taratibu taratibu hizo, wakati wa kutia saini mikataba hiyo na makandarasi, mje mtie saini hapa hapa Mpwapwa ili wananchi waweze kushuhudia tukio hilo”
24 Comments
PMID 33203443 Free PMC article dapoxetine priligy
Почему не работает интернет МТС https://e-pochemuchka.ru/pochemu-ne-rabotaet-internet-mts/
провайдер билайн
https://plus-domashnij-internet-krasnodar-2.ru
билайн телевидение краснодар
билайн краснодар
https://plus-domashnij-internet-krasnodar.ru
билайн тв краснодар
билайн интернет краснодар
https://plus-domashnij-internet-krasnodar-3.ru
билайн телевидение
билайн цены
https://plus-domashnij-internet-krasnodar-2.ru
билайн домашний интернет краснодар
билайн цены
https://plus-domashnij-internet-krasnodar-3.ru
провайдер билайн
мегафон подключить екатеринбург
мегафон интернет
мегафон интернет
мегафон тарифы екатеринбург
https://plus-ekb-domasnij-internet-2.ru
мегафон тарифы на интернет
мегафон тарифы екатеринбург
мегафон интернет екатеринбург
мегафон тарифы на интернет
мегафон екатеринбург
https://plus-ekb-domasnij-internet-2.ru
мегафон подключение екатеринбург
мегафон екатеринбург
https://plus-ekb-domasnij-internet-3.ru
мегафон екатеринбург
мегафон екатеринбург
мегафон телевидение екатеринбург
мегафон телевидение
I appreciate how you demystify complex ideas into comprehensible segments. Kudos!
сайт мегафон ростов
https://anoudjob.com/employer/2544/rosalinda
мегафон телевидение ростов
билайн телевидение
https://www.rebdnt.co.uk/employer/gavin/
билайн интернет кемерово
мегафон ростов
https://baitshepegi.co.za/employer/ashli/
мегафон телевидение ростов
ттк интернет
http://engineerring.net/employer/ttk-tarif-ltd/
ттк тарифы на интернет
ттк телевидение ростов
https://justhired.co.in/employer/tessa/
ттк подключить
провайдер билайн
https://jobsinsidcul.in/employer/monika/
билайн интернет кемерово
мтс телевидение кемерово
http://raverecruiter.com/employer/latosha
мтс подключение
мтс интернет
https://esunsolar.in/employer/rosaria/
сайт мтс краснодар
мтс цены
https://www.workinternational-df.com/employer/24inetrnet-domashnij-ekb-3/
мтс подключить
автоломбард займ под птс
avtolombard-11.ru
деньги под залог автомобиля