Wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga wa Soko la Namba 68, linalofahamika kama Kilombero jijini Arusha, wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, kwa juhudi za kutatua changamoto ya maji sokoni hapo. Hii ni kupitia mradi wa uchimbaji wa kisima kipya ambacho kitasaidia wafanyabiashara hao kupata huduma ya maji safi na salama

Wakizungumza sokoni hapo, machinga hao wameeleza kuwa upatikanaji wa maji ni muhimu sana kwa shughuli zao za kila siku, hasa kwa wafanyabiashara wa mamantilie, wauza matunda, na huduma zingine zinazotegemea maji.
“Mrisho Gambo amekuwa msikivu, ameweza kutuchimbia kisima ambacho kitatusaidia kunufaika kwa kutuwezesha kupata maji safi na salama kwa ajili ya kuendesha shughuli zetu, tuna mamantilie, tuna wauza matunda. Yote hii inahitaji maji”, ameeleza Salome Mollel, mfanyabiashara wa nguo za mitumba sokoni hapo.
Kwa miaka mingi, changamoto ya maji imekuwa kikwazo kikubwa kwa wafanyabiashara wa soko hilo. Walikuwa wakiuziwa maji kwa bei ya juu, ndoo kubwa ikiuzwa Shilingi 200 na ndogo Shilingi 150, hivyo wamemshukuru Rais Samia na Mbunge Gambo kwa kutatua changamoto hiyo wakitumaini bei ya maji itakwenda kuwa chini kwa kupunguza gharama zao za kila siku.

Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, amesema kuwa anatambua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara hao, ikiwemo ufinyu wa miundombinu, gharama kubwa za umeme, na changamoto za mikopo. Hata hivyo, alisisitiza kuwa kutatuliwa kwa changamoto ya maji ni hatua moja muhimu kati ya nyingi zinazolenga kuboresha mazingira ya biashara sokoni hapo.
“Tutahakikisha tunafanya ukarabati wa miundombinu, kuweka taa za barabarani, na kuboresha mazingira kwa ujumla ili kuwawezesha wafanyabiashara kufanya kazi katika mazingira bora na salama,” amesema Gambo.
Pia amewataka wafanyabiashara kushirikiana na viongozi wa soko ili kuhakikisha huduma ya maji inawanufaisha wote bila changamoto za matumizi mabaya au kuuza maji miongoni mwa wanufaika wenyewe.

“Shida tuliyokutana nayo maeneo tuliyochimba visima ni kwamba, unachimba kisima lakini wanufaika wa kisima hicho wanaanza kuuziana maji wenyewe kwa wenyewe na mwisho wa siku msaada unaoletwa unakuwa hauna maana”, ameeleza Gambo.
Wafanyabiashara wa soko hilo wameonesha matumaini makubwa kutokana na juhudi hizo za Serikali, wakiamini kuwa huduma bora za msingi kama maji na miundombinu itachochea ukuaji wa biashara zao na kuchangia kuimarisha uchumi wa eneo hilo kwa ujumla. Wamesema kuwa hatua hizo zinaonesha dhamira ya Serikali ya kushughulikia mahitaji ya wananchi wa kipato cha chini kwa vitendo.
70 Comments
маркетплейс аккаунтов https://birzha-akkauntov-online.ru/
купить аккаунт маркетплейс для реселлеров
купить аккаунт с прокачкой маркетплейс аккаунтов
продажа аккаунтов перепродажа аккаунтов
продажа аккаунтов соцсетей биржа аккаунтов
профиль с подписчиками маркетплейс аккаунтов соцсетей
Account trading platform Account Exchange Service
Verified Accounts for Sale Social media account marketplace
Account Selling Service Verified Accounts for Sale
Account Trading Platform Account Acquisition
Buy Account Account Store
Buy Account Buy Account
Account Market Account Acquisition
Account Trading Account Buying Service
Account Purchase Account Exchange Service
Secure Account Purchasing Platform Secure Account Purchasing Platform
buy accounts https://cheapaccountsmarket.com
account buying platform accounts marketplace
account store profitable account sales
secure account sales buy and sell accounts
account trading platform ready-made accounts for sale
ready-made accounts for sale purchase ready-made accounts
sell accounts account selling service
account trading platform https://accountsmarketdiscount.com/
account trading platform secure account sales
account buying service database of accounts for sale
website for selling accounts account buying platform
find accounts for sale accounts market
website for buying accounts account sale
account selling platform find accounts for sale
accounts market buy account
account exchange account acquisition
account trading platform database of accounts for sale
account catalog sell pre-made account
account buying platform marketplace for ready-made accounts
sell accounts sell pre-made account
account exchange service accounts market
account buying platform account market
account trading service website for buying accounts
sell pre-made account accounts marketplace
account catalog account acquisition
account store account trading platform
account selling platform verified accounts for sale
website for buying accounts https://accounts-offer.org
account market https://accounts-marketplace.xyz/
sell accounts https://social-accounts-marketplaces.live
account marketplace https://accounts-marketplace.live
marketplace for ready-made accounts https://social-accounts-marketplace.xyz
accounts marketplace https://buy-accounts.space
account selling platform https://buy-accounts-shop.pro/
account selling service https://buy-accounts.live
account marketplace https://accounts-marketplace.online/
accounts market https://accounts-marketplace-best.pro
продажа аккаунтов https://akkaunty-na-prodazhu.pro/
маркетплейс аккаунтов соцсетей https://rynok-akkauntov.top
магазин аккаунтов kupit-akkaunt.xyz
маркетплейс аккаунтов https://akkaunt-magazin.online
купить аккаунт https://akkaunty-market.live
продажа аккаунтов маркетплейсов аккаунтов
покупка аккаунтов akkaunty-optom.live
биржа аккаунтов online-akkaunty-magazin.xyz
площадка для продажи аккаунтов akkaunty-dlya-prodazhi.pro
маркетплейс аккаунтов маркетплейсов аккаунтов
buy facebook ad account https://buy-adsaccounts.work
facebook ad account for sale facebook ad accounts for sale
buy fb ad account https://buy-ad-account.top
buy aged facebook ads accounts buy aged facebook ads accounts
buy facebook ads manager https://ad-account-buy.top
buy aged fb account https://buy-ads-account.work
buying facebook accounts https://ad-account-for-sale.top