Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dkt. John Mboya akiongoza kikao cha pamoja na ugeni kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Sekretarieti ya Kamati ya Kitaifa inayoratibu na kusimamia fedha kutoka Mfuko wa Dunia (Global Fund) kabla ya kuanza ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na mfuko wa Dunia katika Mkoa huo.
SERIKALI imepongeza jitihada zinazofanywa na Mfuko wa Dunia katika kufadhili miradi inayotekelezwa kwenye afua za kupambana na UKIMWI, Malaria, Kifua Kikuu pamoja na uboreshaji wa mifumo ya utoaji wa huduma za afya nchini kwa lengo la kuendelea kuwa na huduma bora za afya.
Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Crispin Musiba alipotembela na kukagua utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na Mfuko wa Dunia katika mkoa wa Tabora ambapo walitembelea Hospitali ya Mkoa huu ya Kitete pamoja na kukagua utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa jengo la maabara katika Hospitali ya Mji Nzega.

Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Kamati ya Kitaifa inayoratibu na kusimamia fedha kutoka Mfuko wa Dunia (Global Fund) Dkt. Rachel Mkunde akioneshwa dirisha la malipo katika Hospitali ya ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora ya Kitete wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na mfuko huo.
Bw. Musiba amesema kuwa, ufadhili wa miradi hiyo umeendelea kuleta tija kwa jamii kwa kuzingatia kuwa huduma zinapatika kwa ubora na kuwa na vifaa vinavyosaidia masuala ya kitabibu.
“Ofisi ya Waziri Mkuu ndiyo mratibu wa shughuli hii, hivyo tumeweza kujionea maendeleo ya miradi yote hususan namna vifaa vilivyonunuliwa, upanuzi wa maabara katika viwango vizuri ambapo tunaamini mradi utaendela kulifaa Taifa pamoja na mkoa kuendelea kutatua changamoto chache zilizo ndani ya uwezo wa mkoa,”aslisema Musiba.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Crispin Musiba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na timu aliyoambatana nayo wakati wa ziara ya kikazi kukagua utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na Mfuko wa Dunia (Global Fund) mara baada ya kikao cha pamoja katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
Kwa upande wake Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Kamati ya Kitaifa inayoratibu na kusimamia fedha kutoka Mfuko wa Dunia (Global Fund) TNCM Dkt. Rachel Makunde ameseama ziara imeongeza tija na umuhimu wa kujionea namna mradi unavyotekelezwa kwa kuzingatia malengo yanayokusudiwa.
“Utekelezaji wa afua zilizochini ya Mfuko wa Dunia, zimeendelea kuzaa matunda kwa kuangalia hii ya ujenzi wa emergency department, pamoja na chumba cha maabara katika Hospitali ya Mkoa wa Tabora ya Kitete pamoja na hii ya Nzega, kazi inaenda vizuri na ujenzi wa maabara hapa Nzega inaridhisha,”
Aliongezea kuwa, Ofisi ya Waziri Mkuu imeendelea kuratibu na kusimamia kwa weledi maeneo yanayotekelezwa miradi hii ili kuendelea kutoa huduma bora za kiafya kwa wananchi wote.
Aidha alipongeza juhudi za mkoa kwa kutumia vyanzo vya mapato vya ndani katika ununuzi wa samani zilizohitajika katika Hospitali ya mkoa pamoja na chanagamoto kadhaa wanazokabiliana nazo.
“Global fund itaendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali, ninapongeza namna mkoa unavyokabili na kuboresha maeneo yaliyo na changamoto, kwa hapa Nzega jengo la maabara linaendelea vizuri lipo hatua za mwisho na lenye viwango vizuri hivyo thamani ya fedha zilizotolewa zinasadifu,”alisema Dkt. Rachel
Akizungumzia ziara hiyo Dkt. Rachel amesema,imelenga kutembelea mikoa sita ikiwemo wa Tabora, Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Singida na Dodoma ikiwa ni miongoni mwa mikoa inayotekeleza miradi hiyo.
76 Comments
some sons believe whether accurately or not that their mother loves them more than her husband.Instead of surrendering defeat,ラブドール エロ
人形 エロit can make the other person feel alone,empty,
площадка для продажи аккаунтов https://marketplace-akkauntov-top.ru/
профиль с подписчиками аккаунт для рекламы
аккаунты с балансом купить аккаунт
профиль с подписчиками перепродажа аккаунтов
маркетплейс аккаунтов продажа аккаунтов соцсетей
Buy accounts Account Trading Platform
Account Exchange Service Account Exchange Service
Account market Buy accounts
Account Catalog Find Accounts for Sale
Sell Account Account Selling Platform
Buy and Sell Accounts Account Trading Platform
Buy Account Account Trading Service
Account Trading Platform Sell Account
Gaming account marketplace Sell Pre-made Account
Marketplace for Ready-Made Accounts Accounts market
account purchase account buying service
account store account sale
sell accounts account sale
guaranteed accounts sell pre-made account
profitable account sales sell pre-made account
secure account sales account catalog
account market buy and sell accounts
buy accounts accounts market
accounts market profitable account sales
account buying service sell accounts
account marketplace account exchange
verified accounts for sale account store
secure account purchasing platform sell account
guaranteed accounts account acquisition
ready-made accounts for sale https://accounts-for-sale.org/
account sale account trading service
verified accounts for sale marketplace for ready-made accounts
account trading platform gaming account marketplace
buy accounts secure account sales
account buying platform ready-made accounts for sale
purchase ready-made accounts sell account
account market sell accounts
account buying platform account buying service
social media account marketplace buy account
account selling service account selling service
ready-made accounts for sale buy and sell accounts
account trading marketplace for ready-made accounts
sell accounts account market
account exchange https://accounts-offer.org
account trading platform https://accounts-marketplace.xyz
online account store https://buy-best-accounts.org/
account catalog https://social-accounts-marketplaces.live
?? Ever wondered if nude cam girls fake their reactions? Or how safe those live sex chat platforms really are?
We break it down at ?? livenude the home of real insights on live nude webcams.
?? Discover:
– Do models fake it — or feel it?
– Are nude cam sites safe for you?
– Why people watch cam girls (psychology behind it)
– What’s trending in YEAR on live cam platforms
?? Real girls. Real shows. Real answers.
Check it all here:
Time to watch and learn
Live Nude Cams and Privacy Tips
account market https://accounts-marketplace.live/
purchase ready-made accounts https://social-accounts-marketplace.xyz
find accounts for sale buy accounts
accounts market https://buy-accounts-shop.pro
social media account marketplace https://buy-accounts.live
purchase ready-made accounts https://social-accounts-marketplace.live
account trading service https://accounts-marketplace.online
purchase ready-made accounts accounts-marketplace-best.pro
купить аккаунт https://akkaunty-na-prodazhu.pro/
площадка для продажи аккаунтов rynok-akkauntov.top
маркетплейс аккаунтов https://kupit-akkaunt.xyz/
маркетплейс аккаунтов соцсетей https://akkaunt-magazin.online/
маркетплейс аккаунтов https://akkaunty-market.live
биржа аккаунтов https://kupit-akkaunty-market.xyz/
маркетплейс аккаунтов соцсетей akkaunty-optom.live
продать аккаунт https://online-akkaunty-magazin.xyz/
покупка аккаунтов магазины аккаунтов
купить аккаунт https://kupit-akkaunt.online/
facebook ad accounts for sale https://buy-adsaccounts.work
buy accounts facebook https://buy-ad-accounts.click
buying fb accounts https://buy-ad-account.top
buy facebook ads manager https://buy-ads-account.click
cheap facebook account https://ad-account-buy.top/
buying fb accounts buy-ads-account.work
facebook ad account buy https://ad-account-for-sale.top/
buy old facebook account for ads https://buy-ad-account.click