πŸ“Œ Tunataka Tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia

πŸ“Œ Asema CCM Imejipanga Kushinda na Kuleta Maendeleo

πŸ“Œ Asema CCM Inataka Ushindi wa Heshima

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa CCM chini ya uongozi wa Rais Samia imejipanga kuifanya Geita kuwa na maendeleo zaidi na katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika Novemba 27, 2024 wananchi waichague CCM na kuipa ushindi wa heshima.

Ametolea mfano wa jitihada za kuiletea maendeleo zilizofanywa na CCM kuwa ni pamoja na juhudi za Rais Samia za kuhakikisha Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) unawanufaisha zaidi wananchi kwa Geita.

Dkt. Biteko amesema hayo Novemba 24, 2024 wakati akihutubia katika Kampeni zinazoendelea za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Wilaya ya Geita zilizofanyika katika Viwanja vya Nyankumbu mkoani Geita.

β€œ Sasa tunaona miradi mbalimbali ikitekelezwa, Geita maendeleo yapo kila kona tunataka mchague viongozi watakaoshirikiana na viongozi wengine ili kutuletea maendeleo, CCM tunataka ushindi wa heshima,” amesema Dkt. Biteko.

Amesisitiza β€œ Kwetu sisi hivi ni vyama rafiki na Mhe. Rais anaeleza kuhusu falsafa ya 4R, tunataka tuiambie Afrika na dunia kuwa Tanzania ni nchi ya demokrasia na tunafuata misingi ya waasisi wetu na sisi Geita hatuta wabagua vyama vingine lakini jambo moja hatuna huruma nalo ni kura na hatuwapi kura hata moja,”

Ameongeza β€œ CCM tunabeba vyote, tunabeba vijiji, vitongiji na mitaa yote hatuwaachi hata kimoja na tunafanya hivyo kwa sababu wananchi wameridhishwa na kazi kubwa ya miradi ambayo CCM imetekeleza hapa na inaendelea kutekeleza.”

Aidha, Dkt. Biteko amesema kuwa Serikali imefanya jitihada kubwa za kuhakikisha Tanzania inaendelea kuimarika kiuchumi kwa kuanzisha miradi ya umeme ambayo imeongeza utoshelevu wa umeme nchini pamoja na uwepo wa treni ya umeme ambayo imeanza safari zake kutoka Dar es salaam hadi Dodoma na inatarajiwa kufika Burundi hapo baadae.

Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Mhe. Constantine Kanyasu amesema kuwa Wilaya ya Geita imejipanga kushinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwa wananchi wameona miradi ya maendeleo inayotekelezwa wilayani humo.

Vilevile, Kanyasu ameishukuru Serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya afya, elimu na barabara ambayo inaendelea vizuri.

Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mhe. Tumaini Magesa amewahimiza wananchi wa Geita kuwapigia kura wagombea wa CCM kwa kuwa Serikali ya Rais Samia ina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Geita, Muhoja Mapande amesema kuwa wilaya yake ina vijiji 158, mitaa 65 ambapo vyama vingine vimeweka wagombea 50 na nane kati yao hawataendelea kugombea, katika vitongoji 640 vyama vingine vimeweka wagombea 115 ambapo 92 kati yao wameandika barua ya kutoaendelea na vyama hivyo.

Ameendelea kusema wagombea wa vyama hivyo wamefikia uamuzi huo baada ya kuona jitihada za CCM za kuleta maendeleo katika wilaya hiyo.

About Author

Bongo News

27 Comments

    Γ‡ekmekΓΆy su kaΓ§ak tespiti Bu kadar hassas tespit yapan bir firma daha ΓΆnce gΓΆrmemiştim. https://jogajog.com.bd/ustaelektrikci

    darknet markets darkmarkets deep web drug url

    dark web drug marketplace darkmarket link darknet market links

    tor market dark internet dark market 2024

    darknet drug store dark web search engines darknet drug market

    darkmarkets darknet websites darkweb marketplace

    deep web search tor market links tor marketplace

    dark web access dark web search engine dark market 2024

    darknet markets blackweb official website darknet links

    dark web market list blackweb official website darknet market list

    black internet deep web drug store darknet site

    drug markets dark web darkmarket url deep web drug store

    how to get on dark web dark web search engine darknet market links

    free dark web dark markets darkmarket url

    darknet drug store blackweb tor marketplace

    darkmarket list dark website how to get on dark web

    darknet drug links dark web drug marketplace darkmarket list

    darknet marketplace dark websites tor dark web

    dark markets tor market darknet site

    darknet seiten darkmarket link deep web markets

    deep web search darkmarket list dark web link

    Your blog illuminates my day like a stream of warmth and positivity. Thank you for sharing your uplifting words.

    Excellent post however I was wanting to know if
    you could write a litte more on this subject?
    I’d be very grateful if you could elaborate a little bit more.
    Appreciate it!

    My web blog nordvpn coupons inspiresensation (t.co)

    Hmm it looks like your website ate my first comment (it
    was super long) so I guess I’ll just sum it up what I wrote
    and say, I’m thoroughly enjoying your blog. I as well am an aspiring blog blogger but I’m still new to everything.
    Do you have any tips for beginner blog writers? I’d really appreciate it.

    Look into my blog :: Nordvpn Coupons Inspiresensation (http://Shorter.Me/Nordvpn-Coupons-Inspiresensation–55688)

    Wonderful post! We are linking to this particularly great article on our website.
    Keep up the great writing.

    My homepage – Nordvpn Coupons Inspiresensation

    What’s up to every single one, it’s truly a good for me
    to pay a visit this website, it includes helpful Information.

    Review my web blog: nordvpn coupons inspiresensation (t.co)

    350fairfax nordvpn coupons inspiresensation

    Good blog you’ve got here.. It’s difficult to find high-quality writing like yours these days.
    I truly appreciate people like you! Take care!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *