KITAIFA

HUDUMA KUSAFISHA DAMU YAENDELEA KUBORESHWA HOSPITAL MLOGANZILA

HUDUMA KUSAFISHA DAMU YAENDELEA KUBORESHWA HOSPITAL MLOGANZILA

Kutokana na maboresho ya huduma pamoja na huduma bora kwa wateja katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila, idadi ya wagonjwa wanaofanyiwa huduma za kuchuja damu imeongezeka kutoka wagonjwa 91 kwa kipindi cha Januari-Machi 2022 na kufikia wagonjwa 157 kwa kipindi kama hicho mwaka 2023 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 72.

Aidha jumla ya wagonjwa 1822 walihudhuria huduma ya kuchuja damu (Dialysis) kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2022 ambapo katika kipindi kama hicho kwa mwaka 2023 idadi ya waliopata huduma hiyo iliongezeka na kufikia wagonjwa 2106.

Hatua hiyo inatokana na maboresho makubwa yaliyofanywa katika sekta ya afya na Serikali ya awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza vifaa tiba na kuboresha miundombinu ya kutolea huduma.

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo MNH-Mloganzila Dkt. Immaculate Goima amesema uelewa wa dalili za magonjwa yasiyo ya kuambukiza miongoni mwa jamii umeongezeka jambo ambalo limepelekea wagonjwa kufika hospitalini kwa ajili ya uchunguzi na kuanza matibabu mapema.

Dkt. Goima ameongeza kuwa Mloganzila imekuwa na utaratibu wa kutoa elimu kwa jamii ya namna ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza na pale wanapohisi kuwa na dalili za magonjwa hayo wanashauriwa kufika hospitalini mapema kwa ajili ya ushauri na matibabu badala ya mgonjwa kusubiri hatua za mwisho ndio anakwenda hospitalini.

“Mloganzila tuna wataalamu wenye ujuzi na weledi katika matibabu ya magonjwa mbalimbali ikiwemo magonjwa ya figo, tunatoa huduma kwa saa 24 siku kila siku, watoa huduma wetu wana ari, morali na wanajali wagonjwa pia wanatoa huduma muda wote” amefafanua Dkt. Goima.

Akizungumzia kuhusu huduma za kupandikiza figo, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo MNH-Mloganzila Gyunda Anthony ameeleza kuwa, Mloganzila ilifanya upandikizaji kwa wagonjwa watatu ambapo kumekuwa na mafanikio makubwa kwani wagonjwa hao na ndugu waliowachangia figo wanaendelea vizuri na kufanya shughuli zao kama kawaida.

“Wagonjwa hawa tuliowapandikiza figo Aprili mwaka huu , wanakuja kliniki kwa ufuatiliaji wa afya zao mara moja kwa mwezi , kabla ya kupandikizwa figo walikua wanafanya dialysis mara tatu kwa wiki na kukaa zaidi ya saa nne kwenye mashine ya kuchuja damu kila walipohudhuria hospitali kwa ajili ya huduma hiyo “ amefaafnua Dkt. Gyunda.

“Napenda kuieleza jamii kwamba upandikizaji wa figo ni salama kwa mgonjwa na kwa mchangia figo hivyo wale wenye changamoto za figo wanaweza kufika hospitalini hapa kupata huduma kwakua huduma hii ni endelevu na tunaendelea nayo kwa kushirikiana na wataalamu bobezi’’ ameeleza mtaalamu huyo.

Aidha ametaja sifa za mgonjwa anayestahili kupandikizwa figo kuwa ni yule mwenye tatizo sugu la figo, umri chini ya miaka 60, asiwe na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na homa ya ini, awe na akili timamu na uwezo wa kupata dawa za kushusha kinga baada ya upandikizaji.

Ameongeza kuwa sifa za mchangia figo, awe na umri kati ya miaka 25 hadi 60, awe na afya njema ya akili, asiwe na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na homa ya ini, asiwe na ugonjwa wa kisukari wala shinikizo la juu la damu.

Dkt. Gyunda ameishauri jamii kufuata ushauri unaotolewa na wataalamu wa afya ikiwemo kufanya mazoezi, kuzingatia ulaji sahihi kwa kupunguza matumizi ya vyakula vya wanga na sukari na pia kula matunda na mboga mboga kwa wingi ili kuepuka kupata magonjwa yasiyoambukiza.

About Author

Bongo News

35 Comments

    1 вин скачать https://1win104.com.kg .

    1win website 1win10.com.ng .

    mostbet kg скачать https://www.mostbet1000.com.kg .

    мостбет промокод http://www.mostbet1001.com.kg .

    1win pariuri 1win5000.ru .

    скачать mostbet на телефон https://mostbet1002.com.kg .

    mostbet игры http://mostbet1003.com.kg/ .

    1 win.pro 1 win.pro .

    1vin казино 1win112.com.kg .

    1win. com 1win. com .

    скачать mostbet скачать mostbet .

    how to bet on 1win https://www.1win11.com.ng .

    1win официальный сайт вход http://www.1win715.ru .

    1win online 1win714.ru .

    1winn 1win709.ru .

    1win kg 1win kg .

    1 win вход 1 win вход .

    1win ракета https://www.1win808.ru .

    мостбет войти http://www.mostbet1006.com.kg .

    поддержка мостбет http://www.mostbet1008.com.kg .

    mostbet промокод mostbet787.ru .

    1win сайт https://www.1win705.ru .

    Элегантность и производительность BMW X6, особенности.
    BMW X6: динамика и комфорт, водителей.
    BMW X6.
    Уникальный дизайн BMW X6, удивит.
    BMW X6: мощь на каждый день, характеристики.
    Идеальный выбор – BMW X6, решение.
    Комфортабельный интерьер BMW X6, выражают.
    Незаменимый помощник на дороге – BMW X6, обеспечит.
    Узнайте, почему BMW X6 так популярен, в нашем обзоре.
    Мощь и маневренность BMW X6, всех.
    Обеспечьте свою безопасность с BMW X6, на высшем уровне.
    Почему BMW X6 – это лучшее решение, выдвигает.
    Инновации в BMW X6, меняют.
    Как будет ощущаться поездка на BMW X6, откройте для себя.
    Что дает вам BMW X6?, в нашем обзоре.
    Выразительный дизайн BMW X6, выразит вашу индивидуальность.
    Сравните BMW X6 с конкурентами, в нашем сравнении.
    Изучите отзывы владельцев BMW X6, в нашей статье.
    Как BMW X6 обеспечивает безопасность, защитят вас.
    BMW X6: наш окончательный вердикт, обобщаем мнение.
    bmw x6 2019 bmw x6 2019 .

    Наши любимые модели BMW для каждого водителя, способные удивить.
    Наслаждайтесь отличием моделей BMW, которые поражают.
    Проверьте последние достижения BMW, с акцентом на.
    Каждый найдет свою идеальную BMW, уникально адаптирован.
    Погрузитесь в мир премиальных автомобилей BMW, лучшие технологии.
    Что отличает BMW от других брендов, узнайте.
    Каждая модель BMW — это шедевр, предназначенный для.
    Выбор моделей BMW: найдите свою идеальную машину, которые стоит рассмотреть.
    Как BMW отвечает на вызовы времени, узнайте.
    Новый взгляд на автомобили BMW, проектированные для путешествий.
    Погрузитесь в технологии BMW, это опыт, который нужно испытать.
    Наслаждайтесь комфортом и управляемостью BMW, который суждено испытать.
    Каждая модель BMW — это мастерская инженерия, энтузиастов.
    Преимущества выбора автомобилей BMW, от стиля до мощности.
    Давайте исследовать великолепие модельного ряда BMW, с выдающейся производительностью.
    От автомобилей для города до внедорожников: BMW, с уникальными возможностями.
    Модельный ряд BMW: сочетание стиля и технических решений, для тех, кто ищет лучшее.
    Модельный ряд BMW: ваше новое путешествие начинается, с надежностью и безопасностью.
    Изучите мир BMW с новой перспективы, для любого бюджета.
    bmw x4 2019 https://model-series-bmw.biz.ua/ .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *