
Serikali imelipongeza wimbi kubwa la wananchi wanaopisha kwa hiari zoezi la uhifadhi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro na kuhamia maeneo mengine.
Kauli hiyo imetolewa leo Februari 1, 2024 na Kamishina wa Uhifadhi wa Ngorongoro, Richard Kiiza wakati akiliaga kundi la takribani wananchi 600 walioanza safari majira ya saa 12:30 asubuhi kutoka ofisi ya zamani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Msomera.

“Ndugu zangu nawashukuru kwa hamasa kubwa mliyonayo Sasa ya kuanza kuondoka kwa hiari hifadhini kupisha uhifadhi maana sasa spidi ya kujiandikisha imekuwa kubwa katika kipindi kifupi” amefafanua Kamishina Kiiza.
Amewahakikishia kuwa dhamira ya Serikali ni njema ya kutaka kuboresha maisha yao na kuwaomba wawndelee kuwashawishi wenzao waliobaki ili pia waboreshe maisha yao.

Mwakilishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, John Mapepele ambaye pia ndiye Msemaji wa Wizara hiyo anasisitiza” Nimefarijika kuona wananchi wanaofurahia maisha wakifika Msomera wamekuwa mabalozi wazuri wa kuwaelezea jinsi Serikali inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ilivyoboresha maisha yao”
Hadi sasa kundi hili linakuwa kundi la tano kwenda eneo la Msomera ikiwa ni jumla ya kaya 934 zenye jumla ya watu 5747 na mifugo 26227.

Serikali imekuwa ikizingatia haki zote za msingi wakati wa kuwahamisha wananchi wanaopisha uhifadhi kwa hiari ikiwa ni pamoja na kujengewa nyumba bure, kulipwa fidia ya maendelezo, kupewa shamba la ekari tano, kifuta jasho cha milioni kumi, kusafirishwa wao na mizigo yao na kuendelea kupatiwa mahindi kwa ajili ya chakula kwa mwaka mmoja na nusu.

62 Comments
Such posts make you think about many important things that we often ignore https://zlnk.ru/#
Like 6716
pill to help get pregnant over the counter The open gap present, rolled, steel quarantine bands are extremely strong and require removal by a full size bolt cutter with sharp edges
mostbet промокод mostbet промокод .
ваучер 1win https://1win38.com.kg/ .
ваучер 1win http://1win40.com.kg .
wan win https://www.1win33.com.kg .
1vin https://1win34.com.kg .
1вин кг https://www.1win35.com.kg .
1 win.pro https://mostbet18.com.kg/ .
mostbet сайт http://www.mostbet3015.ru .
мостбет уз https://mostbet3020.ru .
one win https://www.1win36.com.kg .
mostbet aviator yutish https://www.mostbet3019.ru .
win1 casino http://1win2.com.mx/ .
скачать 1win с официального сайта http://www.1win37.com.kg .
mostbet скачать https://www.mostbet19.com.kg .
1win ru http://1win46.com.kg/ .
1win ru http://www.mostbet21.com.kg .
один вин http://1win101.com.kg/ .
wan win wan win .
1win kg скачать http://1win108.com.kg/ .
wan win http://1win42.com.kg/ .
1вин войти http://www.aktivnoe.forum24.ru/?1-8-0-00000252-000-0-0-1741169084 .
мостбет казино https://cah.forum24.ru/?1-13-0-00001559-000-0-0/ .
mostbet.kg https://chesskomi.borda.ru/?1-10-0-00000277-000-0-0-1741171219 .
1wln aqvakr.forum24.ru/?1-3-0-00001121-000-0-0 .
1win.pro https://aktivnoe.forum24.ru/?1-8-0-00000254-000-0-0-1741273702/ .
1win зайти http://1win109.com.kg/ .
1вин онлайн https://1win10.am .
1вин сайт официальный 1win110.com.kg .
1вин rossvya https://1win103.com.kg/ .
1 win.am 1 win.am .
1winj 1win13.am .
1win armenia http://www.1win12.am .
casino 1 win casino 1 win .
1win online casino https://1win5.com.mx/ .
1win mx 1win mx .
1win sports http://www.1win10.com.ng .
мост бет https://www.mostbet1009.com.kg .
mostbet kg скачать http://mostbet1000.com.kg .
1вин кг 1вин кг .
мотбет мотбет .
мостбет кыргызстан скачать https://www.mostbet1003.com.kg .
mostbets https://mostbet1002.com.kg .
1win вход https://www.cah.forum24.ru/?1-19-0-00000716-000-0-0-1741702224 .
скачать 1win с официального сайта https://aktivnoe.forum24.ru/?1-2-0-00000100-000-0-0-1741701286/ .
мостбет https://www.dubna.myqip.ru/?1-18-0-00000145-000-0-0-1741708632 .
1 вин войти http://www.aktivnoe.forum24.ru/?1-8-0-00000259-000-0-0-1741701621 .
мостбет официальный сайт https://www.cah.forum24.ru/?1-19-0-00000715-000-0-0-1741702061 .
1win на телефон http://1win112.com.kg .
1win live http://www.1win713.ru .
1win online games http://www.1win11.com.ng .
1win мобильная версия сайта https://1win715.ru .
1win online https://1win708.ru/ .
1win online https://www.1win709.ru .
1win официальный сайт 1win официальный сайт .
1win ставки официальный сайт 1win ставки официальный сайт .
1win букмекер 1win букмекер .
1win онлайн https://1win808.ru .
скачат мостбет http://www.mostbet1006.com.kg .
скачать mostbet https://mostbet1008.com.kg .
мост бет https://www.mymoscow.forum24.ru/?1-2-0-00000718-000-0-0-1742357638 .