π Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni
π Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana
π Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleo
Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kujenga misingi ya kusaidiana kuheshimiana na kuvumiliana ili kufanikisha malengo wanayojiwekea kimaendeleo.

Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Desemba 15, 2024 Jijini Dar es Salaam alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni maalum katika Hafla ya Kutabaruku Jengo la Kanisa la Waasventista Wasabato, Magomeni.
Amewahimiza waumini na Watanzania kwa ujumla kuboresha huduma za jamii na kuwekeza katika mipango itakayowezesha kukidhi mahitaji na kupata Taifa endelevu.
β Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan siku zote amekuwa akisisitiza maridhiano, uhimilivu, mabadiliko na kuimarisha amani yetu ili jamii iweze kupata maendeleo na kustawiβ amesema Dkt. Biteko

Aidha, amewataka waumini kuendeleza moyo wa kujitolea kwa ajili ya uwekezaji na ujenzi wa miundombinu ya maendeleo kama vile kanisa na miradi mingine ya kijamii.
Amesema, Serikali itaendelea kutoa ushirikiano wake kuhakikisha kwamba misingi ya malezi na ushirikiano inayowekwa inafanikiwa.
β Wametajwa baadhi ya watu waliofanikisha ujenzi wa kanisa hili la Magomeni, lakini pia wapo ambao hawakutajwa kwa kuwa hawakuwa tayari kutajwa na hii ndiyo sababu kwao kutotajwa, sasa tuanze upya kila mmoja ajitahidi kufanya jambo la kheri kwa mwenzie badala ya kumuumiza,β ameongeza kuwa tuwe baraka kwa watu wengine na sio Kitunguu cha kuwatoa watu machozi machoniβ amesisitiza Dkt. Biteko

Kwa upande wake, Mch. Dkt. Joel Okindo, Msaidizi wa Mwenyekiti wa Divesheni ya Mashariki na Kati amewaka waumini kujenga moyo wa kujitolea katika masuala ya maendeleo ili kutimiza azima ya uumbaji.
Amesema ujenzi wa Kanisa la SDA – Magomeni ulianza takribani miaka 12 iliyopita na ujenzi huo umekamilika kwa zaidi ya asilimia 90 kutokana na michango ya waumini, wafadhili na viongozi mbalimbali.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila ametumia jukwaa hilo kutoa ufafanuzi kuhusu madai ya mtu mmoja anayedaiwa kutekwa ambapo amesema mtu huyo alitumia mbinu hizo baada ya kuuza gari alilokuwa ameazima.
β Mhe. Naibu Waziri Mkuu, Dar es Salaam ni salama na huyu mtu anayedaiwa kutekwa ni kwamba βamejitekaβ baada ya kuazima gari na kuliuza, Gari tayari tunalo na huyo mtuhumiwa atatokea hadharani hivi karibuni kuelezea kilichotokea.β amesema Chalamila.
3 Comments
It’s actually very difficult in this busy life to listen news on Television, so I only use
world wide web for that purpose, and get the most recent news.
I got what you mean , appreciate it for posting.Woh I am pleased to find this website through google. “The test and use of a man’s education is that he finds pleasure in the exercise of his mind.” by Carl Barzun.
Π‘ΡΡΠΎΠΈΡΠ΅Π»ΡΠ½ΡΠ΅ Π±ΡΡΠΎΠ²ΠΊΠΈ
ΠΠΎΠ½ΡΠ΅ΠΉΠ½Π΅ΡΡ ΠΈ Π±Π»ΠΎΠΊ-ΠΊΠΎΠ½ΡΠ΅ΠΉΠ½Π΅ΡΡ: Π½Π°Π΄ΡΠΆΠ½ΠΎΠ΅ ΠΏΠΎΠ΄Ρ ΠΎΠ΄ Π΄Π»Ρ Π»ΠΈΡΠ½ΡΡ Π½ΡΠΆΠ΄
ΠΠΎΠ΄ΡΠ»ΠΈ ΠΈ ΠΏΠ΅ΡΠ΅Π΄Π²ΠΈΠΆΠ½ΡΠ΅ ΠΏΠΎΠΌΠ΅ΡΠ΅Π½ΠΈΡ ΠΏΠΎΠ·Π²ΠΎΠ»ΡΡΡ Π½Π°Π»Π°Π΄ΠΈΡΡ ΡΠ°Π±ΠΎΡΠ΅Π΅ ΠΏΡΠΎΡΡΡΠ°Π½ΡΡΠ²ΠΎ, ΠΏΠΎΠΌΠ΅ΡΠ΅Π½ΠΈΠ΅ Π΄Π»Ρ Ρ ΡΠ°Π½Π΅Π½ΠΈΡ ΠΈΠ»ΠΈ Π²ΡΠ΅ΠΌΠ΅Π½Π½ΡΡ ΠΏΠΎΡΡΡΠΎΠΉΠΊΡ. ΠΠ°ΡΠΈ ΡΠΏΠ΅ΡΠΈΠ°Π»ΠΈΡΡΡ ΠΏΡΠ΅Π΄Π»Π°Π³Π°Π΅ΠΌ Π·Π΄Π°Π½ΠΈΡ, ΠΊΠΎΡΠΎΡΡΠ΅ ΠΏΠΎΠ΄Ρ ΠΎΠ΄ΡΡ Π²ΡΡΠΎΠΊΠΈΠΌ ΡΡΠ°Π½Π΄Π°ΡΡΠ°ΠΌ ΠΊΠ°ΡΠ΅ΡΡΠ²Π° ΠΈ ΡΡΠ½ΠΊΡΠΈΠΎΠ½Π°Π»ΡΠ½ΠΎΡΡΠΈ.
ΠΡΠ΅ΠΈΠΌΡΡΠ΅ΡΡΠ²Π°
Π£ΡΡΠΎΠΉΡΠΈΠ²ΠΎΡΡΡ. ΠΠ°ΠΆΠ΄Π°Ρ ΠΌΠΎΠ΄ΡΠ»ΠΈ Π²ΡΠΏΠΎΠ»Π½Π΅Π½Ρ ΠΈΠ· ΡΠ»Π΅ΠΌΠ΅Π½ΡΠΎΠ², ΡΡΠΎΠΉΠΊΠΈΡ ΠΊ Π½Π°Π³ΡΡΠ·ΠΊΠ°ΠΌ ΠΈ ΠΊΠ»ΠΈΠΌΠ°ΡΠΈΡΠ΅ΡΠΊΠΈΠΌ ΡΠ°ΠΊΡΠΎΡΠ°ΠΌ.
Π‘ΠΊΠΎΡΠΎΡΡΡ Π΄ΠΎΡΡΠ°Π²ΠΊΠΈ. ΠΠΎΠ΄ΡΠ»Ρ Π΄ΠΎΡΡΠ°Π²Π»ΡΠ΅ΡΡΡ Π² ΡΠ΅ΡΠ΅Π½ΠΈΠ΅ 1β2 ΡΠ°Π±ΠΎΡΠΈΡ Π΄Π½Π΅ΠΉ ΠΏΠΎΡΠ»Π΅ Π·Π°ΠΊΠ»ΡΡΠ΅Π½ΠΈΡ ΡΠΎΠ³Π»Π°ΡΠ΅Π½ΠΈΡ.
ΠΠΈΠ±ΠΊΠ°Ρ Π½Π°ΡΡΡΠΎΠΉΠΊΠ°. ΠΠΎΠ·ΠΌΠΎΠΆΠ½Π° ΠΊΠΎΠΌΠΏΠΎΠ½ΠΎΠ²ΠΊΠ° Π·Π°ΡΠΈΡΡ ΠΎΡ Ρ ΠΎΠ»ΠΎΠ΄Π°, ΡΠ»Π΅ΠΊΡΡΠΈΠΊΠΈ ΠΈΠ»ΠΈ ΠΏΡΠΈΡΠΎΡΠ½ΠΎΠΉ ΡΠΈΡΡΠ΅ΠΌΡ.
ΠΠ΄Π΅ ΠΏΡΠΈΠΌΠ΅Π½ΡΡΡΡΡ
ΠΠ° ΡΡΡΠΎΠΉΠΏΠ»ΠΎΡΠ°Π΄ΠΊΠ°Ρ Π΄Π»Ρ Π½Π°ΠΊΠΎΠΏΠ»Π΅Π½ΠΈΡ ΠΌΠ°ΡΠ΅ΡΠΈΠ°Π»ΠΎΠ² ΠΈΠ»ΠΈ ΠΎΠ±ΠΎΡΡΠ΄ΠΎΠ²Π°Π½ΠΈΡ ΠΌΠ΅ΡΡΠ° Π΄Π»Ρ ΠΏΠ΅ΡΡΠΎΠ½Π°Π»Π°.
ΠΠΎ Π²ΡΠ΅ΠΌΡ ΠΌΠ΅ΡΠΎΠΏΡΠΈΡΡΠΈΠΉ Π΄Π»Ρ ΡΠ°Π·ΠΌΠ΅ΡΠ΅Π½ΠΈΡ Π·ΠΎΠ½Ρ ΡΠ΅Π³ΠΈΡΡΡΠ°ΡΠΈΠΈ ΠΈΠ»ΠΈ Ρ ΡΠ°Π½ΠΈΠ»ΠΈΡΠ° ΡΠ΅Ρ Π½ΠΈΠΊΠΈ.
Π ΠΊΠ°ΡΠ΅ΡΡΠ²Π΅ Π²ΡΠ΅ΠΌΠ΅Π½Π½ΡΡ ΠΎΡΠΈΡΠΎΠ² ΠΈΠ»ΠΈ ΠΏΡΠ½ΠΊΡΠΎΠ² ΡΠΏΡΠ°Π²Π»Π΅Π½ΠΈΡ.
ΠΠ»ΡΡΡ
ΠΠΏΡΠΈΠΌΠΈΠ·Π°ΡΠΈΡ Π²ΡΠ΅ΠΌΠ΅Π½ΠΈ. ΠΠ΅ ΡΡΠ΅Π±ΡΠ΅ΡΡΡ ΡΡΡΠΎΠΈΡΡ Π²ΡΠ΅ΠΌΠ΅Π½Π½ΡΠ΅ ΠΏΠΎΠΌΠ΅ΡΠ΅Π½ΠΈΡ.
ΠΠΎΠΌΡΠΎΡΡΠ°Π±Π΅Π»ΡΠ½ΠΎΡΡΡ. ΠΡΠΌΠΎΡΡΠ΅ΡΠ°, ΠΊΠΎΡΠΎΡΡΠ΅ ΡΡΠΈΠ»ΠΈΠ²Π°ΡΡ ΡΠ΅Π·ΡΠ»ΡΡΠ°ΡΠΈΠ²Π½ΠΎΡΡΡ Π΄Π΅ΠΉΡΡΠ²ΠΈΠΉ ΡΠ°Π±ΠΎΡΠ½ΠΈΠΊΠΎΠ².
ΠΠΎΠ΄ΡΡΡΠΎΠΉΠΊΠ°. ΠΠΎΠ·ΠΌΠΎΠΆΠ½ΠΎΡΡΡ ΠΊΡΠ°ΡΠΊΠΎΡΡΠΎΡΠ½ΠΎΠ³ΠΎ ΠΏΠΎΠ»ΡΠ·ΠΎΠ²Π°Π½ΠΈΡ ΠΈΠ»ΠΈ ΠΏΡΠΈΠΎΠ±ΡΠ΅ΡΠ΅Π½ΠΈΡ ΠΏΠΎΠ΄ ΠΊΠΎΠ½ΠΊΡΠ΅ΡΠ½ΡΠ΅ ΡΡΠ΅Π±ΠΎΠ²Π°Π½ΠΈΡ ΠΈ Π΄Π΅Π½Π΅ΠΆΠ½ΡΠ΅ ΡΡΠ΅Π΄ΡΡΠ²Π°.
Π‘Π»ΡΡΠ°ΠΉ ΠΏΡΠΈΠΌΠ΅Π½Π΅Π½ΠΈΡ
Π‘ΡΡΠΎΠΈΡΠ΅Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΠΏΠΎΠ΄ΡΡΠ΄ Π·Π°Π΄Π΅ΠΉΡΡΠ²ΠΎΠ²Π°Π»Π° Π²ΡΠ΅ΠΌΠ΅Π½Π½ΡΡ ΠΊΠΎΠ½ΡΡΡΡΠΊΡΠΈΡ Π΄Π»Ρ Π½Π°ΠΊΠΎΠΏΠ»Π΅Π½ΠΈΡ ΠΌΠ°ΡΠ΅ΡΠΈΠ°Π»ΠΎΠ² ΠΈ ΠΏΠΎΠΌΠ΅ΡΠ΅Π½ΠΈΡ Π΄Π»Ρ ΠΏΠ΅ΡΡΠΎΠ½Π°Π»Π°. ΠΠΎΡΡΡΠΎΠΉΠΊΠ° Π±ΡΠ»Π° Π΄ΠΎΡΡΠ°Π²Π»Π΅Π½Π° Π·Π° Π΄Π΅Π½Ρ, Ρ ΡΡΠΈΠ»Π΅Π½Π½ΠΎΠΉ ΡΠ΅ΠΏΠ»ΠΎΠΈΠ·ΠΎΠ»ΡΡΠΈΠ΅ΠΉ. ΠΠ»ΠΈΠ΅Π½Ρ ΠΎΡΠΌΠ΅ΡΠΈΠ» Π½Π° ΡΠ»ΡΡΡΠ΅Π½ΠΈΠ΅ ΠΎΠ±ΡΡΠ°Π½ΠΎΠ²ΠΊΠΈ ΠΈ ΠΎΡΡΡΡΡΡΠ²ΠΈΠ΅ ΠΏΡΠΎΡΡΠΎΠ΅Π².
ΠΠ°ΠΊ Π½Π°ΡΠ°ΡΡ ΡΠΎΡΡΡΠ΄Π½ΠΈΡΠ΅ΡΡΠ²ΠΎ
ΠΠ»Ρ ΠΏΠΎΠ΄Π°ΡΠΈ Π·Π°ΡΠ²ΠΊΠΈ Π½Π΅ΠΎΠ±Ρ ΠΎΠ΄ΠΈΠΌΠΎ ΠΎΠ±ΡΠ°ΡΠΈΡΡΡΡ Ρ Π½Π°ΠΌΠΈ. ΠΠ°Π΄ΠΈΠΌ Π²ΡΡ Π½Π΅ΠΎΠ±Ρ ΠΎΠ΄ΠΈΠΌΡΡ ΠΈΠ½ΡΠΎΡΠΌΠ°ΡΠΈΡ, ΠΏΠΎΠΌΠΎΠΆΠ΅ΠΌ Π²ΡΠ±ΡΠ°ΡΡ ΠΎΠΏΡΠΈΠΌΠ°Π»ΡΠ½ΠΎΠ΅ ΡΠ΅ΡΠ΅Π½ΠΈΠ΅ ΠΈ Π²ΡΠΏΠΎΠ»Π½ΠΈΠΌ ΡΡΠ°Π½ΡΠΏΠΎΡΡΠΈΡΠΎΠ²ΠΊΡ.