
#Mazingira Uwekezaji Sekta ya Madini, sasa njia nyeupe
Imeelezwa kuwa, Sekta ya Madini ni nguzo muhimu na chachu ya maendeleo ya uchumi wa nchi kupitia rasilimali madini iliyopo nchini.

Hayo yameelezwa leo Oktoba 25, 2023 na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Jukwaa la Madini na Uwekezaji Tanzania 2023 jijini Dar es salaam.
“Kutokana na umuhimu wa Sekta ya Madini katika ukuaji wa uchumi wa nchi yetu, Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ili kuvutia uwekezaji zaidi,” amesema Dkt. Biteko
Amesema kuwa, Sekta ya Madini inafungamanishwa na Sekta nyingine za Kiuchumi kama vile viwanda na kilimo ili kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotumia madini kama malighafi mfano mbolea, betri za magari, simu, kompyuta na bidhaa nyingine.

“Niwahakikishie kuwa, mazingira ya uwekezaji katika Sekta ya Madini yameendelea kuboreshwa na kuwa rafiki zaidi. Nafurahi kusema kuwa, hadi sasa jumla ya Kampuni tisa za Kimataifa za uchimbaji mkubwa wa madini zimeingia ubia na Serikali katika uchimbaji wa madini mbalimbali ikiwemo madini ya nikeli, kinywe, heavy mineral sands (mchanga bahari), Rare Earth Elements, dhahabu na almasi,” ameongeza Dkt. Biteko
Aidha, Serikali inaendelea kuhakikisha kuwa miundombinu mbalimbali inaboreshwa ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa umeme wa uhakika pamoja na ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji.

Kwa upande wake, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema kuwa ili kuhakikisha nchi ya Tanzania inanufaika na rasilimali madini, Wizara
itaendelea kuimarisha usimamizi wa shughuli za Sekta ya Madini ili kuhakikisha inawanufaisha wananchi na Serikali inapata mapato stahiki.
“Wizara itaendelea kuimarisha
usimamizi wa shughuli za Sekta ya Madini ili kuhakikisha kuwa
mchango wake unakua hadi kufikia asilimia 10 ya Pato la Taifa kufikia mwaka 2025 kama ilivyo katika Dira ya Maendeleo ya Taifa ya Mwaka 2025. Tutashirikiana na wadau mbalimbali wa Sekta kuhakisha lengo hilo linafikiwa,” ameongeza Waziri Mavunde.

Kwa upande mwingine,
Mawaziri wa Madini kutoka nchini Malawi Monica Chang’anamuno na Peter Lokeres kutoka nchini Uganda wamesema kuwa Afrika ina fursa nyingi za Sekta ya Madini zinazovutia wawekezaji kuwekeza.
Mkutano wa Madini 2023 umehudhuriwa na mawaziri kutoka nje ya nchi, Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini, Makatibu Wakuu na Manaibu Wakuu kutoa Tanzania Bara na Visiwani, Waheshimiwa Mabalozi, Viongozi wa Serikali, Vyama vya siasa na Wakuu wa Taasisi.
78 Comments
маркетплейс аккаунтов безопасная сделка аккаунтов
биржа аккаунтов https://marketplace-akkauntov-top.ru/
площадка для продажи аккаунтов биржа аккаунтов
магазин аккаунтов https://ploshadka-prodazha-akkauntov.ru/
маркетплейс аккаунтов соцсетей https://prodat-akkaunt-online.ru/
маркетплейс аккаунтов https://kupit-akkaunt-top.ru
магазин аккаунтов безопасная сделка аккаунтов
Buy accounts Account Store
Marketplace for Ready-Made Accounts Database of Accounts for Sale
Account marketplace Buy accounts
Accounts for Sale Account market
Sell accounts https://accountsmarketplacehub.com
Profitable Account Sales Ready-Made Accounts for Sale
Guaranteed Accounts Purchase Ready-Made Accounts
Account Buying Platform Verified Accounts for Sale
Sell accounts Accounts for Sale
Account Trading buyaccounts001.com
Buy Account Secure Account Sales
accounts market sell account
website for selling accounts buy and sell accounts
gaming account marketplace https://socialaccountssale.com
account store account buying platform
accounts market account trading service
marketplace for ready-made accounts buy account
secure account purchasing platform account store
account trading platform account exchange
sell account social media account marketplace
gaming account marketplace account selling service
secure account purchasing platform database of accounts for sale
buy account account buying service
online account store account market
accounts market account buying platform
account trading platform guaranteed accounts
secure account sales buy account
account marketplace account store
account store account acquisition
account trading service account purchase
account purchase account trading
account buying platform purchase ready-made accounts
account store account selling platform
account buying platform accounts marketplace
account buying service account marketplace
account trading buy accounts
buy accounts https://shop-social-accounts.org
account selling platform buy and sell accounts
find accounts for sale sell pre-made account
account marketplace https://accounts-offer.org
account trading accounts marketplace
online account store https://buy-best-accounts.org/
account buying platform https://social-accounts-marketplaces.live/
secure account purchasing platform https://accounts-marketplace.live
find accounts for sale https://social-accounts-marketplace.xyz
sell pre-made account buy accounts
buy accounts buy-accounts-shop.pro
account exchange service https://accounts-marketplace.art/
account market https://social-accounts-marketplace.live
secure account sales https://buy-accounts.live
online account store account marketplace
secure account sales https://accounts-marketplace-best.pro
продать аккаунт https://akkaunty-na-prodazhu.pro/
продать аккаунт https://rynok-akkauntov.top/
маркетплейс аккаунтов https://kupit-akkaunt.xyz
магазин аккаунтов https://akkaunt-magazin.online/
продать аккаунт akkaunty-market.live
покупка аккаунтов https://kupit-akkaunty-market.xyz/
магазин аккаунтов akkaunty-optom.live
продажа аккаунтов https://online-akkaunty-magazin.xyz/
купить аккаунт akkaunty-dlya-prodazhi.pro
I don’t think the title of your article matches the content lol. Just kidding, mainly because I had some doubts after reading the article.
магазин аккаунтов kupit-akkaunt.online
buy facebook profile buy facebook profiles
buy facebook accounts cheap buy facebook profiles
buy facebook ads accounts https://buy-ad-account.top
buy facebook account https://buy-ads-account.click/
facebook accounts to buy buy account facebook ads
buy facebook ad account https://buy-ads-account.work
cheap facebook advertising account ad-account-for-sale.top
fb account for sale buy aged facebook ads accounts