Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cameroon, Mhe. Felix Mbayu katika Ofisi za Waziri huyo zilizopo Jijini Yaounde nchini Cameroon leo tarehe 21 Julai, 2023.

Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cameroon, Mhe. Felix Mbayu katika Ofisi za Waziri huyo zilizopo Jijini Yaounde nchini Cameroon leo tarehe 21 Julai, 202
Pamoja na mambo mengine, Dkt. Tulia amemshukuru Waziri huyo kwa niaba ya Mawaziri wengine ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Mawaziri ya Umoja wa Afrika (AU) kwa kupitisha jina lake kuwa Mgombea pekee wa Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anayeungwa mkono na AU.
1 Comment
В этой статье представлен занимательный и актуальный контент, который заставит вас задуматься. Мы обсуждаем насущные вопросы и проблемы, а также освещаем истории, которые вдохновляют на действия и изменения. Узнайте, что стоит за событиями нашего времени!
Получить дополнительные сведения – https://mednarkoforum.ru/