KITAIFA

TUME YA USHINDANI YAPATA MAFANIKIO LUKUKI

TUME YA USHINDANI YAPATA MAFANIKIO LUKUKI

Tume ya Ushindani (FCC) imeendelea kupata mafanikio  katika kutekeleza lengo lake kuu la  kuongeza ufanisi katika uzalishaji, usambazaji na ugavi wa bidhaa na huduma katika kuhakikisha mazingira sawa ya ushindani wa soko baada ya nchi kuondokana na mfumo wa uchumi hodhi na kuhamia katika mfumo wa uchumi wa soko huria kwa maslahi mapana ya Taifa.

Hayo yameelezwa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani, Bw. William Erio wakati akielezea utekelezaji wa majukumu ya Tume  hiyo na mwelekeo  wake kwa  mwaka wa fedha 2023/24.

“Katika kipindi cha miaka mitatu yaani mwaka 2020 hadi  2023, FCC iliridhia kununuliwa kwa kampuni 14 zenye jumla ya thamani ya bei ya mauziano inayofikia shilingi bilioni 49.4 katika sekta ya kilimo kwa lengo la kuruhusu kampuni hizo kuongeza wigo zaidi sokoni, kuongeza mitaji na kupunguza uwezekano wa kampuni hizo kuondoka sokoni”, alisema Bw. Erio.

Alizitaja Kampuni hizo kuwa ni pamoja na Mtanga Foods Limited (yenye biashara zake Iringa), kampuni ya uzalishaji wa Parachichi ya Rungwe Avocado Company Limited na kampuni ya uchenjuaji mpunga (mchele) ya MW Rice Millers Limited na Mring’a Estates Limited.

Bw. Erio alifafanua “Miungano ya makampuni iliyoidhinishwa na FCC ya AMY Holdings Limited kununua kampuni mbili za Tanzania Tobacco Processors Limited (TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company Limited (TLTC) zilizokuwa zimefungwa kwa zaidi ya miaka minne ilisababisha mafanikio katika Sekta ndogo ya Tumbaku nchini. Ambayo ni kupatikana kwa ajira zaidi ya 3,000, kupanda kwa bei ya tumbaku ghafi kwa kilo kutoka shilingi 3,762 mwaka 2021 hadi kufikia shilingi 4,616 mwaka 2022”.

Aidha, mafanikio mengine yanatajwa kuwa ni kuondoshwa kwa zuio la kuzalisha tumbaku ya ziada lililokuwepo kwa wakulima waliokuwa wakizalisha kwa utaratibu wa kilimo cha mkataba na wenye viwanda kutoka hatua iliyoongeza uzalishaji wa tumbaku kutoka tani 65,0000 (2021) hadi kufikia tani 138,000 (2022). Hali hii inaashiria kufikiwa kwa lengo la kuzalisha tani 200,000 kufikia mwaka (2025) kama ilivyobainishwa na kuelekezwa na Ilani ya Chama Tawala.

Vilevile katika sekta ya mawasiliano, FCC iliidhinisha jumla ya kampuni 26 zilizonunuliwa na wawekezaji mbalimbali katika kipindi cha mwaka 2020 na 2023 kwa thamani ya shilingi bilioni 653.

About Author

Bongo News

8 Comments

    Can you be more specific about the content of your article? After reading it, I still have some doubts. Hope you can help me.

    Thank you for your sharing. I am worried that I lack creative ideas. It is your article that makes me full of hope. Thank you. But, I have a question, can you help me?

    Good day! This is my first comment here so I just wanted to give a quick
    shout out and tell you I really enjoy reading your posts.
    Can you suggest any other blogs/websites/forums that deal with
    the same subjects? Thanks a lot!

    Here is my webpage; nordvpn coupons inspiresensation (tinyurl.com)

    What’s up Dear, are you truly visiting this website on a regular basis, if so afterward you will absolutely get pleasant
    knowledge.

    Stop by my web blog … nordvpn coupons inspiresensation (http://ur.link/nordvpn-coupons-inspiresensation–71537)

    I for all time emailed this weblog post page to all my friends, as if like to read it next my friends will too.

    Also visit my homepage – nordvpn coupons inspiresensation (wc.tv.br)

    You can certainly see your expertise in the work you write.
    The world hopes for more passionate writers such as you who aren’t afraid to say how they believe.
    All the time follow your heart.

    My web page Nordvpn Coupons Inspiresensation

    ¡Hola, participantes del casino !
    Algunos casinos solo requieren que confirmes tu correo para darte el bono.
    Disfruta de 10 euros gratis sin depГіsito bingo y sumГ©rgete en la emociГіn del juego. Participa en partidas emocionantes y gana premios sin necesidad de invertir. Es la forma perfecta de disfrutar del bingo en lГ­nea.
    Casinos online que dan 10 euros al registrarte – https://www.youtube.com/@squeezer007

    ¡Que tengas excelentes giros afortunados !

    350fairfax nordvpn coupons inspiresensation
    I’ve been surfing online more than 4 hours today, yet I never found any interesting article like
    yours. It is pretty worth enough for me. Personally, if all
    webmasters and bloggers made good content as you did, the net will be much more
    useful than ever before.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *