Na Mwandishi Wetu
USAFIRI umerejea kwa hatua katika barabara iendayo mikoa ya Kusini tangu leo alfajiri baada ya wataalamu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana kurekebisha eneo la Somanga Matandu lililoharibiwa na mvua na kufanya njia isipitike.

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ambaye ameweka kambi katika eneo hilo tangu jana, amewaambia waandishi wa habari kwamba magari madogo 230, mabasi 10 na baadhi ya malori 30 yaliyobeba bidhaa mbalimbali ikiwemo mawe makubwa yamefanikiwa kuruhusiwa kupita katika eneo la Somanga Mtama na Matandu kuanzia leo kati ya saa 11:30 alfajiri hadi saa 12:00 asubuhi.
Ulega ameyasema hayo leo wakati akitoa taarifa ya awali akiwa mkoani Lindi wakati akiendelea kusimamia zoezi la urejeshaji wa maeneo yaliyokatika katika barabara kuu ya Dar es Salaam – Lindi linaoofanywa na Timu ya Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara (TANROADS) kwa kushirikiana na Mkandarasi.

Baadhi ya abiria waliolazimika kusubiri usafiri usiku kucha wamezungumza na waandishi wa habari na kutoa shukrani kwa wataalamu waliofanikisha kazi hiyo kwa kufanya kazi usiku kucha.
“Tunaishukuru sana serikali hasa wataalamu wake na mheshimiwa Waziri wa Ujenzi ambaye tumeshinda naye hapa kutwa nzima mpaka jioni na akatuahidi leo tutaondoka na neno lake limetimia,” alisema Shaaban Matwanga mkazi wa Lindi ambaye ameondoka kwenda Dar es Salaam leo.
Katika maelezo yake, Ulega alisema matengenezo zaidi katika maeneo ya Somanga Mtama na Matandu yanaendelea kuimarishwa kwa kuendelea kuwekwa mawe makubwa ili kuruhusu na magari mengine yaliyobakia kupita.

Ulega amewahakikishia Watanzania kuwa serikali ipo kazini usiku na mchana katika kuhakikisha miundombinu ya barabara hiyo inaimarishwa ili isiwe kikwazo kwa wasafiri.
39 Comments
et7btl
Готов к большим выигрышам?
В Flagman Casino тебя ждут топовые слоты, щедрые бонусы и быстрые выплаты!
Переходи по ссылке и начинай играть прямо сейчас! https://taplink.cc/flagman_official
Goodd day! I simplly want to give yyou a biig thumbs up for your excelpent
inf you’ve goot here oon thiks post. I wioll bee comking back too your websitfe forr
mire soon.
gl30zr
acheter kamagra site fiable: kamagra en ligne – kamagra livraison 24h
Cialis en ligne: cialis prix – Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.shop
Tadalafil 20 mg prix sans ordonnance: Cialis en ligne – Acheter Viagra Cialis sans ordonnance tadalmed.shop
Cialis sans ordonnance pas cher: Acheter Viagra Cialis sans ordonnance – Tadalafil 20 mg prix en pharmacie tadalmed.shop
http://pharmafst.com/# pharmacies en ligne certifiГ©es
kamagra en ligne Kamagra Commander maintenant Achetez vos kamagra medicaments
Cialis sans ordonnance 24h: Acheter Viagra Cialis sans ordonnance – Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.shop
https://tadalmed.shop/# Cialis sans ordonnance 24h
Cialis generique prix: Pharmacie en ligne Cialis sans ordonnance – Tadalafil 20 mg prix sans ordonnance tadalmed.shop
Achat Cialis en ligne fiable Tadalafil sans ordonnance en ligne Tadalafil 20 mg prix sans ordonnance tadalmed.com
pharmacie en ligne: pharmacie en ligne sans ordonnance – pharmacie en ligne france livraison belgique pharmafst.com
https://pharmafst.com/# pharmacie en ligne avec ordonnance
Achat mГ©dicament en ligne fiable: pharmacie en ligne pas cher – Pharmacie sans ordonnance pharmafst.com
Acheter Viagra Cialis sans ordonnance Cialis sans ordonnance pas cher cialis prix tadalmed.com
cialis generique: Achat Cialis en ligne fiable – Tadalafil sans ordonnance en ligne tadalmed.shop
https://pharmafst.shop/# pharmacie en ligne pas cher
Acheter Cialis 20 mg pas cher: Tadalafil 20 mg prix en pharmacie – Cialis sans ordonnance pas cher tadalmed.shop
pharmacie en ligne france pas cher pharmacie en ligne sans ordonnance pharmacies en ligne certifiГ©es pharmafst.shop
kamagra 100mg prix: kamagra en ligne – achat kamagra
https://pharmafst.com/# pharmacie en ligne livraison europe
kamagra pas cher: achat kamagra – kamagra pas cher
Acheter Kamagra site fiable kamagra 100mg prix Achetez vos kamagra medicaments
Kamagra Commander maintenant: achat kamagra – Achetez vos kamagra medicaments
http://kamagraprix.com/# kamagra gel
Achetez vos kamagra medicaments: acheter kamagra site fiable – kamagra oral jelly
acheter kamagra site fiable kamagra oral jelly achat kamagra
kamagra pas cher: kamagra gel – kamagra gel
http://kamagraprix.com/# Kamagra Oral Jelly pas cher
pharmacie en ligne france livraison belgique: pharmacie en ligne – pharmacie en ligne france livraison belgique pharmafst.com
pharmacie en ligne france pas cher Medicaments en ligne livres en 24h pharmacie en ligne france fiable pharmafst.shop
kamagra oral jelly: kamagra 100mg prix – kamagra 100mg prix
https://pharmafst.com/# acheter mГ©dicament en ligne sans ordonnance
Tadalafil 20 mg prix en pharmacie: Tadalafil 20 mg prix en pharmacie – Tadalafil achat en ligne tadalmed.shop
https://pharmafst.com/# Achat mГ©dicament en ligne fiable
https://kamagraprix.com/# Kamagra Oral Jelly pas cher