KITAIFA

WAIGIZAJI NCHINI WANAMCHANGO KATIKA KUWAONDOLEA WATU ‘STRESS’ -YAKUBU

WAIGIZAJI NCHINI WANAMCHANGO KATIKA KUWAONDOLEA WATU ‘STRESS’ -YAKUBU

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao na baadhi ya viongozi wa Chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Bw. Salum Abdul Mchoma almaarufu Chiki Choma.

Katika kikao chao viongozi hao kimefanyika Agosti 15, 2023 jijini Dodoma ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza chama hicho ikiwemo maadalizi ya mkutano mkuu wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Septemba 2, 2023 jijini Tanga.

“Wizara ipo na ninyi, maana sekta ya maigizo hapa nchini inakua, waigizaji wana mchango mkubwa katika kuwaondolea watu msongo wa mawazo ‘stress’, watu wakimwona Mhogo Mchungu tayari wanafurahi na kutaka kumsikiliza anasema nini” amesema Katibu Mkuu Bw. Yakubu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa TDFAA, Bw. Chiki Choma amesema chama hicho kina wanachama zaidi ya 56,000 katika mikoa 24 nchini na wamejipanga kuongeza wanachama wapya katika mikoa ya Rukwa na Katavi ambayo bado hawajafungua matawi.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa Bi. Leah Kihimbi, maafisa kutoka idara hiyo pamoja na Msanii mkongwe Bw. Abdalah Mkumbila almaarufu Muhogo Mchungu.

About Author

Bongo News

5 Comments

    Magnificent web site. Lots of useful information here.
    I am sending it to a few buddies ans additionally sharing in delicious.

    And certainly, thank you in your sweat!

    My website: nordvpn coupons Inspiresensation (S.bea.sh)

    Do you have a spam problem on this blog; I also am a blogger, and
    I was curious about your situation; many of us have developed some nice methods and we are
    looking to exchange solutions with others, why not shoot me an e-mail if interested.

    My blog post; nordvpn coupons inspiresensation (tinyurl.com)

    What’s Taking place i’m new to this, I stumbled upon this I have
    discovered It absolutely helpful and it has aided me out loads.
    I hope to give a contribution & assist different users like its helped me.
    Great job.

    Feel free to visit my page – nordvpn coupons inspiresensation [http://t.co/y7mrgpy3QB]

    Hi there to all, the contents present at this web site are truly remarkable for people knowledge,
    well, keep up the good work fellows.

    my page nordvpn coupons inspiresensation

    350fairfax nordvpn
    Hello to every one, the contents existing at this website are really
    amazing for people experience, well, keep up the good work
    fellows.

    Feel free to visit my web site Nord vpn promo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *