Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga wa pili kulia akipewa
maelekezo kuhusu vitendea kazi na fundi kutoka Wakala wa Ufundi na
Umeme Tanzania (TEMESA) Mkoa wa Lindi mara baada ya kumaliza
kuzungumza na wadau wanaotumia huduma za Wakala Mkoani humo
katika kikao kilichofanyika katika ofisi za Mkuu wa Mkoa.
Wakuu wa Wilaya za Lindi na Mtwara wameziagiza Taasisi zilizoko Mikoani
humo kuhakikisha wanalipia gharama za huduma wanazopatiwa na Wakala wa
Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ili kuuwezesha Wakala huo kuendelea
kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Wakuu hao wa Wilaya, wameyasema
hayo kwa nyakati tofauti wakati wa vikao vya wadau vilivyoandaliwa na
TEMESA na kufanyika katika Wilaya zao kwa lengo la kuendelea
kupeana mrejesho baina ya TEMESA na wadau wake kwa ujumla ambao ni
wauzaji wa vipuri, watengenezaji wa vilainishi, Taasisi za Umma na Serikali
pamoja na watu binafsi ikiwa ni muendelezo wa jitihada za Wakala huo katika
kuboresha utendaji kazi wake ili kuhakikisha wateja hao na Serikali
wanawezeshwa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi bila vikwazo vyovyote.

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Hanafi Msabaha akimkabidhi tuzo mmoja wa
wadau wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Mkoa wa
Lindi kwa kutambua mchango wake pamoja na kulipia huduma za Wakala
kwa wakati mara baada ya kuzungumza na wadau wanaotumia huduma za
Wakala Mkoani humo katika kikao kilichofanyika katika hoteli ya Luwa
Evegreen mjini Mtwara.
Akizungumza wakati wa Kikao cha wadau Mkoani Lindi, kilichofanyika katika
katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo Tarehe 22 Juni, 2023, Mkuu wa Wilaya ya
Lindi Shaibu Ndemanga amewaomba wadau hao kuendelea kupata huduma
TEMESA huku akiwataka kuhakikisha wanalipia gharama za huduma baada ya
kumaliza kutengenezewa magari yao na mitambo
”Lakini tukipata huduma tulipe, Mheshimiwa Rais hawezi kuhudumia tu kila
siku, hapana, itafika mahala Taasisi lazima ijiendeshe angalau kwa asilimia
fulani, sasa hawawezi kuwa wanaenda kuchukua vipuri huko wakufungie halafu
hulipi, wanakuja kukurekebishia wewe hulipi,wataishi vipi, na hawa tumewapa
uwezo wa kufanya shughuli zao kutegemea na malipo ambayo wanayapata,
kwahiyo tukalipe.” amesisitiza Ndemanga na kuwataka TEMESA kuhakikisha
wanakagua madeni hayo vizuri ili kuona namna yanavyoweza kulipika,
amewaomba pia kutokataa kutengeneza magari ya Taasisi ambazo zinadaiwa.
Mkuu huyo wa Wilaya pia ameipongeza TEMESA kwa maboresho ambayo
inaendelea kuyafanya katika karakana zake na kuziomba Taasisi za Umma na
wadau kuiamini TEMESA kwakuwa imebadilika na inafanya kazi kwa ufanisi
mkubwa. ”TEMESA sasa imeboreka, kwa wale ambao tumepata nafasi ya
kukagua na kusikiliza kule nje, sio TEMESA ile ambayo tulikuwa nayo miaka
iliyopita, kwahiyo niwaombe tuondoe hofu, twendeni tupeleke magari yetu
TEMESA, twendeni tuwaite maofisini kwetu warekebishe wakague viyoyozi,
waje kwenye nyumba zetu waangalie pia umeme, wana vifaa vya kisasa vya
kukagua na kutengeneza viyoyozi vyetu, wana vifaa vya kisasa vya kupima
umeme kwenye nyumba zetu, twendeni tuwatumie TEMESA.” Amesema
Ndemanga na kuongeza kuwa Wakala huo kwa sasa umebadilika na gharama
zake sasa zinaendana na soko tofauti na zamani huku akiwahakikishia wadau
wa Mkoa wa Lindi ubora wa huduma kutoka Wakala huo.
Naye Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Hanafi Msabaha, akizungumza na wadau
hao Mkoani humo mwishoni mwa wiki, amewataka wadau hao kutokata
tamaa na TEMESA, kurejesha imani yao kwa TEMESA na kuendelea kufanya kazi
nao na kama itajitokeza changamoto basi wadau hao wasisite kuileta mbele
yake ili izungumzwe na kutatuliwa. Msabaha amesema vikao vya aina hiyo viwe
endelevu kwa TEMESA kuendelea kukaa na wadau wake na kutathmini namna
wadau hao wanavozitafsiri huduma za Wakala, wapi wanakosea na wapi
wapaboreshe zaidi ili TEMESA iendelee kutoa huduma bora. Msabaha pia
amesisitiza suala la wadau hao hasa Taasisi za Umma kulipa madeni yao kwa
wakati.
”Lakini ndugu wadau, tunapopata huduma za TEMESA basi mimi niwaombe na
sisi tuwe waaminifu tulipe mapema, na mara nyingi Taasisi za Serikali na
Wakala za Serikali zinazotoa huduma zinakwama kwasababu hiyo, Taasisi ni za
kwetu wenyewe lakini tunakopa hatulipi, lakini mjue kwamba kuwa na madeni
mengi pia inasababisha Taasisi kushindwa kujiendesha.” Alimaliza Msabaha.
Aidha, Mtendaji Mkuu wa Wakala huo, Lazaro N. Kilahala, akizungumza kwa
nyakati tofauti katika vikao hivyo, amesema TEMESA imekuwa ikifanya vikao
na wadau kwa ajili ya kuendelea kupeana mrejesho ikiwa ni muendelezo wa
jitihada za kuboresha utendaji kazi wa Wakala huo ili kuwezesha wateja na
Serikali kwa ujumla kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi bila
vikwazo vyovyote. Kilahala amesema vikao hivyo ni muendelezo kwani
TEMESA iko katika kufanya mabadiliko makubwa na lazima iwashirikishe wadau
wake katika kujua maeneo gani izidi kuyaboresha lakini pia kupeana mrejesho
kwa maeneo ambayo tayari Wakala huo umekwishaanza kuyafanyia kazi.
Kilahala ametoa shukrani za dhati kwa Mhe. Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan na
Serikali ya Awamu ya Sita kwa ujumla kwa uwekezaji mkubwa ambao
inaendeleea kuufanya TEMESA, amesema kuwa Serikali imekuwa ikiendelea
kununua vitendea kazi kila mara na vimekuwa vikisambazwa kila Mkoa kwa ajili
ya kuboresha utendaji kazi wa Wakala huo. ”Karakana zetu zinaendelea
kufanyiwa ukarabati mkubwa na watumishi wetu wanaendelea kupatiwa
mafunzo, hii yote ni katika kuboresha huduma na utendaji wa Wakala, hatuna
sababu ya kurudi nyuma, uwekezaji huu unaofanyika na dhamira ya dhati ya
Serikali yetu ni kuona kwamba TEMESA inakuwa bora zaidi na inakuwa
inachangia pakubwa zaidi katika maendeleo ya nchi yetu, kwahiyo hatuwezi
kurudi nyuma.” Amesema Kilahala na kuongeza kuwa anawakaribisha wateja
katika TEMESA mpya, ambayo inafanya kazi kisasa, kwa vifaa vya kisasa,
vitendea kazi vya kisasa, TEMESA ambayo inataka kubadilika na kuishi
matarajio ya wateja wake, sio TEMESA kwa mujibu wa Sheria bali TEMESA
inayotaka kumridhisha mteja ili aweza kufurahia huduma anayoipata.
Kilahala alimaliza kwa kutoa wito kwa Taasisi za Umma na wadau waendelee
kuiamini TEMESA na kuendelea kufanya kazi na TEMESA na kuongeza kuwa
Wakala unakuja kivingine kuhakikisha wateja wanaridhishwa huku
akiwasihi wadau hao kulipa mkazo suala la ulipaji wa madeni ya huduma
wanazopatiwa kwani wakilipa madeni yao, TEMESA itaweza kulipa wazabuni
kwa vipuri ambayo inawauzia ili wateja hao waridhishwe na huduma
wanazopatiwa.
29 Comments
ラブドール 高級Interacting with pets can serve to reduce your blood pressure,slow your heart
ラブドール セックス” six years older,who was fearless and captivated many,
えろ 人形Perspiration,a sign of stress,
ラブドール 中古he also boosts his reputation as an effective and insightful leader.This sort of stubborn resistance to beneficial change exemplified here is a paradigmatic form of passive aggression,
it is expected that the cost will come down.The International Air Transport Association (IATA) has set a goal of producing 2 million metric tons of SAF per year by 2025,女性 用 ラブドール
They were punished if they cried or yelled at [for showing emotion],ラブドール 女性 用 and most men don’t get the opportunity to work through that. It’s not to excuse behaviour, it’s just to deepen the story. Misogyny, sexism and the patriarchy impacts everyone.’
that may be pricey, but there isn’t any additional エロ 人形expenses similar to a restocking fee to raise the ache.
セックス ロボットThey take offense easily,triggering contempt and rage.
ラブドール 中古and the facial features are crafted with exceptional attention to detail.The customization options allowed me to create a doll that truly fits my preferences,
She calls external stimulation “outercourse,” jydollsaying that grinding, humping, and similar activities allow people to “experience orgasm just by touching and kissing and being intimate,
SC: Beyond the sexualized racist stereotypes listed in the study,ラブドール オナニーwhat are further stereotypes that Black women have to contend with in modern-day media,
For instance, specific high-end models now offer conversational abilities, 最 高級 ダッチワイフlearning from interactions to provide a more personalized experience.
stop and allow children time for play and exercise.If travelling with a baby,エロ ランジェリー
By adding AI to sex dolls, there’s aラブドール sex whole new world of interaction between humans and machines
There have been many articles published about the psychological consequences for mothers whose children refuse to have contact with them.A recent article by Schoppe-Sullivan 2023 et al.高級 オナホ
※当ブログはアフィリエイト・オナドールアドセンスによる収益で運営されています。
リアル セックスThe prices of sex robots have significantly dropped within the last few years.Sex robot sales make up about 0.
and for their future as adults.There are alternatives to hitting as a form of correction,コスプレ エロ い
Your health visitor can visit you at home,下着 エロor you can see them at your child health clinic,
えろ 人形connection,and belonging to the smallest circle possible.
Signs and examples of grooming in children include:Your children having new unexplained gifts like toys or clothesYour child doesn’t want to talk about where the gifts came fromYour child is getting lots of messages from someone they know onlineYour child talks a lot about a particular adult or older child or wants to spend a lot of time with themYour child wants to go alone when they meet a particular adult or older personSigns and examples of grooming in teenagers include:Being in a relationship with a much older boyfriend or girlfriendIs skipping school or sporting activitiesNot wanting to talk about what they’ve been doing,エッチ な コスプレor lies about itDoesn’t want other people around when they’re with a particular girlfriend or boyfriendSigns and examples of grooming in the abuser include:offering to take your child to sports or other activities,
They are comfortable,supple,人形 セックス
to live out your most taboo desires and to get as えろ 人形imaginative as you want without taking your partner’s feelingsor preferences into account.
you can freely indulge in even the most taboo of desires, えろ 人形safe in the knowledge that you can enjoy totally judgement (and anxiety) free.
At the front desk, the receptionist gets me a Red Stripe beer and asks if it’s my first time to ラブドール オナニー“Hedo,” as everyone calls it. Yep!
I was mostly focused on stimulating my penis,ラブドール 女性 用and orgasms were more of a sudden releas But now orgasms are more of a relaxing wave of warmth that washes over every part of my body.
The way you gathered and synthesized information from various sources was impressive,ラブドールI particularly appreciated how you translated your research findings into practical implementation steps,
They use eco-friendly materials like organic cotton and recycled polyester,and they also prioritize ethical labor practices.リアル ラブドール
It seems for Irontech Doll It’s not at all more than enough to offer an extensive collection ofドール エロ Practically just one hundred differing kinds of bodies, that may be coupled with more than two hundred various heads, all gorgeous and very eye-catching.