π Mashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa
π Rais Samia kinara wa Michezo nchini
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea katika mashindano wa CHAN 2025 na AFCON 2027.
Hayo yamebainishwa leo Januari 15, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akifungua Kongamano la Wadau wa Michezo kuelekea CHAN 2025 na AFCON 2027 jijini Dar es Salaam.
“Nchi yetu imepata heshima kubwa kimataifa na hii haiji kwa bahati mbaya imesababishwa na ukuaji wa demokrasia iliyojengwa na Rais Samia kwenye mataifa mbalimbali duniani,” amesema Dkt. Biteko.

Aidha, Dkt. Biteko amewapongeza wadau wa michezo waliotoa mawazo ya kuanzishwa kwa kongamano hilo ili kutangaziana fursa zitakazotokea wakati wa mashindano hayo.
Ameeleza kuwa, mashindano yatawakutanisha wageni wengi kutoka mataifa mbalimbali na kuna wajibu wa kufanya maandalizi kwa ufanisi mkubwa ili kunufaika na mashindano kupitia fursa mbalimbali za usafirishaji, malazi na burudani.

“Fursa za mashindano haya zitakuza uchumi wa nchi yetu na kufanya vikundi vya watu au kampuni mbalimbali kufanya biashara na kukuza uchumi wao na hatimaye kuondoa umaskini miongoni mwetu,” ameongeza Dkt. Biteko.
Vile vile, Dkt. Biteko amempongeza Rais Samia kwa kuwa kinara wa kuhamasisha ushiriki wa watanzania katika sekta ya michezo ili vijana kukuza uchumi wao.
Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwijuma amesema lengo la kongamano ni kupokea maoni ya wadau mbalimbali na kuchanganua fursa zitakazokuja pamoja kuelekea mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027 ambazo watanzania watanufaika nazo.

Mashindano ya CHAN 2025 yanatarajiwa kufanyika mwezi Agosti mwaka huu na AFCON yamepangwa kufanyika mwaka 2027.
69 Comments
ΠΌΠΎΡΡΠ±Π΅Ρ ΠΌΠΎΠ±ΠΈΠ»ΡΠ½Π°Ρ Π²Π΅ΡΡΠΈΡ ΡΠΊΠ°ΡΠ°ΡΡ http://mostbet17.com.kg/ .
1Π²ΠΈΠ½. https://1win38.com.kg .
1Π²ΠΈΠ½ ΠΎΠ½Π»Π°ΠΉΠ½ http://1win40.com.kg .
1win ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ Π²ΠΎΠΉΡΠΈ https://1win39.com.kg .
1win Π·Π°ΠΉΡΠΈ 1win33.com.kg .
1win ΠΎΠ½Π»Π°ΠΉΠ½ https://www.1win34.com.kg .
1wi https://1win35.com.kg/ .
1 Π²ΠΈΠ½ https://mostbet18.com.kg .
mostbet uz ΡΠΊΠ°ΡΠ°ΡΡ https://mostbet3015.ru .
ΠΌΠΎΡΡΠ±Π΅Ρ ΡΠ· mostbet3016.ru .
mostbet com uz http://www.mostbet3020.ru .
Π²Π°Π½ Π²ΠΈΠ½ http://www.1win36.com.kg .
ΠΌΠΎΡΡΠ±Π΅Ρ ΡΠ· http://mostbet3019.ru .
1win mΓ©xico 1win2.com.mx .
1Ρ win http://1win37.com.kg .
1 Π²ΠΈΠ½ ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ http://1win41.com.kg/ .
1 Π²ΠΈΠ½ ΡΠΊΠ°ΡΠ°ΡΡ http://1win46.com.kg .
ΠΌΠΎΡΠ±Π΅Ρ http://mostbet19.com.kg/ .
ΡΠΊΠ°ΡΠ°Ρ ΠΌΠΎΡΡΠ±Π΅Ρ http://mostbet20.com.kg/ .
1 Π²ΠΈΠ½ Π²Ρ ΠΎΠ΄ https://1win101.com.kg .
1Π²ΠΈΠ½ http://mostbet21.com.kg .
1vin https://1win100.com.kg/ .
Π²Ρ ΠΎΠ΄ 1win Π²Ρ ΠΎΠ΄ 1win .
1win ru 1win ru .
1win Π²Π°ΡΡΠ΅Ρ 1win Π²Π°ΡΡΠ΅Ρ .
1 ΡΡΡ https://aktivnoe.forum24.ru/?1-8-0-00000252-000-0-0-1741169084 .
ΠΌΠΎΡΡΡΠ΅Ρ ΠΌΠΎΡΡΡΠ΅Ρ .
1win pro http://svstrazh.forum24.ru/?1-18-0-00000135-000-0-0-1741169701 .
ΠΌΠΎΡ Π±Π΅Ρ http://chesskomi.borda.ru/?1-10-0-00000277-000-0-0-1741171219 .
ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ 1win ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ 1win .
1win Π²Ρ ΠΎΠ΄ Π² Π»ΠΈΡΠ½ΡΠΉ ΠΊΠ°Π±ΠΈΠ½Π΅Ρ https://www.cah.forum24.ru/?1-13-0-00001560-000-0-0-1741172791 .
1 Π²ΠΈΠ½ ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ https://aktivnoe.forum24.ru/?1-8-0-00000254-000-0-0-1741273702/ .
1Π²ΠΈΠ½ ΡΠ°ΠΉΡ 1win109.com.kg .
1win ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ ΡΠ΅Π³ΠΈΡΡΡΠ°ΡΠΈΡ 1win10.am .
1win Π·Π°ΠΉΡΠΈ 1win110.com.kg .
1win kg ΡΠΊΠ°ΡΠ°ΡΡ http://1win103.com.kg/ .
1win Π²ΠΎΠΉΡΠΈ 1win Π²ΠΎΠΉΡΠΈ .
1win ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ Π²ΠΎΠΉΡΠΈ 1win11.am .
1win ΡΠ°ΠΉΡ http://1win13.am .
1 win 1 win .
1 win casino 1 win casino .
win1 casino http://1win5.com.mx .
win1 casino win1 casino .
mostbet ΠΈΠ³ΡΡ mostbet ΠΈΠ³ΡΡ .
aviator mostbet aviator mostbet .
ΠΌΠΎΡΠ±Π΅Ρ http://www.mostbet1001.com.kg .
ΠΌΠΎΡΡΠ±Π΅Ρ ΠΊΡΡΠ³ΡΠ·ΡΡΠ°Π½ https://www.mostbet1003.com.kg .
mostber http://mostbet1002.com.kg/ .
ΠΌΠΎΡΡΠ±Π΅Ρ https://dubna.myqip.ru/?1-18-0-00000145-000-0-0-1741708632 .
1Π²ΠΈΠ½ Π²Ρ ΠΎΠ΄ https://www.aktivnoe.forum24.ru/?1-2-0-00000100-000-0-0-1741701286 .
mostbets http://aktivnoe.forum24.ru/?1-8-0-00000260-000-0-0-1741701879 .
1win ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ ΡΠΊΠ°ΡΠ°ΡΡ 1win ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ ΡΠΊΠ°ΡΠ°ΡΡ .
mostbet kg ΠΎΡΠ·ΡΠ²Ρ mostbet kg ΠΎΡΠ·ΡΠ²Ρ .
1win rossvya https://1win112.com.kg/ .
1wi. http://1win713.ru/ .
ΠΌΠΎΡΡΠ±Π΅Ρ chrono ΠΌΠΎΡΡΠ±Π΅Ρ chrono .
1win online games https://1win11.com.ng/ .
ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ 1 Π²ΠΈΠ½ http://1win715.ru .
1 win 1win708.ru .
1vin kg https://www.1win714.ru .
1Π²ΠΈΠ½ ΠΎΠ½Π»Π°ΠΉΠ½ 1Π²ΠΈΠ½ ΠΎΠ½Π»Π°ΠΉΠ½ .
1win Π²ΠΎΠΉΡΠΈ https://1win819.ru/ .
1Π²ΠΈΠ½ Π²Ρ ΠΎΠ΄ 1Π²ΠΈΠ½ Π²Ρ ΠΎΠ΄ .
1win. https://www.1win808.ru .
mostbet ΠΈΠ³ΡΡ https://www.mostbet1006.com.kg .
ΠΌΠ°ΡΡΠ±Π΅Ρ ΠΌΠ°ΡΡΠ±Π΅Ρ .
mostbet ΠΈΠ³ΡΡ http://mostbet787.ru/ .
ΠΌΠΎΡΡΠ±Π΅Ρ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ http://mymoscow.forum24.ru/?1-2-0-00000718-000-0-0-1742357638/ .
1win online 1win online .