AJALI MBAYA MBEYA, 9 WAFARIKI, 23 WAJERUHIWA, LORI LAGONGA BASI, MTEREMKO WA IWAMBI

AJALI MBAYA MBEYA, 9 WAFARIKI, 23 WAJERUHIWA, LORI LAGONGA BASI, MTEREMKO WA IWAMBI

Taarifa kutoka Kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga inatueleza kuwa Watu tisa wamefariki dunia na wengine 23 kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari iliyotokea jana usiku Septemba 22, 2023 katika mteremko mkali wa Iwambi, Wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya ikihusisha Lori na basi la abiria. Kamanda Benjamini Kuzaga amesema katika ajali […]

Read More
 UCHUNGUZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA: KIFO CHA MWANAFUNZI WA UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DKT. FESTO DUGANGE

UCHUNGUZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA: KIFO CHA MWANAFUNZI WA UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DKT. FESTO DUGANGE

Tarehe 10 Mei, 2023, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) iliyokuwa na nia ya kufanya uchunguzi juu ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ilitoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari. Uchunguzi huo ulifanywa kwa mujibu wa Sheria ya THBUB, Sura ya 391, ambayo […]

Read More
 SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU KWA MAJERUHI NA MAZISHI YA WANAFUNZI WA AJALI – BAHI

SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU KWA MAJERUHI NA MAZISHI YA WANAFUNZI WA AJALI – BAHI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema Serikali itagharamia mazishi ya Wanafunzi wawili (2) wa shule ya sekondari  Mpalanga Wilayani Bahi waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea jana majira ya saa 5:00 asubuhi katika Kijiji cha Chidilo  Wilayani humo. Aidha, Mhe. Senyamule ameahidi kuwa, Serikali itagharamia matibabu ya wanafunzi wote majeruhi31 walioumia katika ajali hiyo ambao wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Ajali hiyo imehusisha gari yenye […]

Read More