KAIRUKI AMWAPISHA KIIZA, KAMISHNA MPYA NGORONGORO, AGUSIA ZOEZI LA KUWAHAMISHA WAMASAI NGORONGORO

KAIRUKI AMWAPISHA KIIZA, KAMISHNA MPYA NGORONGORO, AGUSIA ZOEZI LA KUWAHAMISHA WAMASAI NGORONGORO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki leo Oktoba 29,2023 amemwapisha Kamishna mpya wa Hifadhi ya Ngorongoro katika ofisi za makao makuu ya Hifadhi hiyo mkoani Arusha, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi Richard Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) baada ya kuteuliwa na Mhe. Rais hivi karibuni. Akizungumza mara […]

Read More
 “WAMBIENI UKWELI VIONGOZI ILI KUWASAIDIA BADALA YA KUWAPAMBA NA KUWASIFIA” PROF. KITILA MKUMBO

WAMBIENI UKWELI VIONGOZI ILI KUWASAIDIA BADALA YA KUWAPAMBA NA KUWASIFIA” PROF. KITILA MKUMBO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CCM) Prof. Kitila Mkumbo amewataka vijana kuacha kuwa ‘Machawa’ wa watu binafsi na kuwapamba badala ya kuwaambia ukweli. Akizungumza katika mkutano wa Umoja wa Vijana wa Tawi la Shule ya Sheria Prof. Kitila amesema vijana wanapaswa kuwa ‘Chawa’ /wafuasi wa […]

Read More
 WATANZANIA WANAHITAJI WAPATE MAFUTA KWA URAHISI – DKT. BITEKO

WATANZANIA WANAHITAJI WAPATE MAFUTA KWA URAHISI – DKT. BITEKO

#Apongeza utaratibu wa upokeaji na upakiaji mafuta #Ujenzi wa Flow meter Kigamboni wafikia asilimia 93 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili shughuli za kiuchumi na kijamii zifanyike kujenga uchumi wa nchi. Hayo yameelezwa leo Oktoba 27, 2023 na Dkt. Biteko alipotembelea gati […]

Read More
 SEKTA YA MADINI NGUZO MUHIMU YA MAENDELEO YA NCHI

SEKTA YA MADINI NGUZO MUHIMU YA MAENDELEO YA NCHI

#Mazingira Uwekezaji Sekta ya Madini, sasa njia nyeupe Imeelezwa kuwa, Sekta ya Madini ni nguzo muhimu na chachu ya maendeleo ya uchumi wa nchi kupitia rasilimali madini iliyopo nchini. Hayo yameelezwa leo Oktoba 25, 2023 na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano […]

Read More
 RAIS SAMIA AIGUSIA RELI YA TAZARA BUNGENI

RAIS SAMIA AIGUSIA RELI YA TAZARA BUNGENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania na Zambia zinajipanga kuhakikisha Reli ya Tazara inafanya kazi kwa uwezo wake wote na kuchochea uchumi wa nchi hizo mbili. Akihutubia kwenye Bunge la Zambia leo jioni, Rais Samia amesema kwa sasa reli hiyo inafanya kazi kwa asilimia nne tu ya […]

Read More
 SAMIA NA HAKAINDE KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA TANZANIA NA ZAMBIA

SAMIA NA HAKAINDE KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA TANZANIA NA ZAMBIA

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema wameazimia kuweka mazingira yatakayofanya biashara kati ya Tanzania na Zambia zisiwe na vikwazo. Wakizungumza katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Zambia lililofanyika jana jioni marais hao walisema eneo moja la muhimu ni kuhakikisha magari hayakai kwenye mipaka kwa muda mrefu pasi […]

Read More