WATANO WASIMAMISHWA KAZI TANGA, WATUHUMIWA KUSABABISHA KIFO CHA MJAMZITO

WATANO WASIMAMISHWA KAZI TANGA, WATUHUMIWA KUSABABISHA KIFO CHA MJAMZITO

Raisa Said,Tanga Mkuu wa Wilaya ya Tanga James Kaji amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji Tanga, Dk Frederick Sagamiko kuwasimamisha kazi watumishi watano kutoka katika kituo cha afya cha Mikanjuni kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mama mmoja ambaye alijifungua kwa njia ya upasuaji. Watumushi hao wanaotuhumiwa kwa uzembe ulisaobaisha mama huyo, Fatma Musa Selemani […]

Read More
 UCHUNGUZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA: KIFO CHA MWANAFUNZI WA UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DKT. FESTO DUGANGE

UCHUNGUZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA: KIFO CHA MWANAFUNZI WA UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DKT. FESTO DUGANGE

Tarehe 10 Mei, 2023, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) iliyokuwa na nia ya kufanya uchunguzi juu ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ilitoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari. Uchunguzi huo ulifanywa kwa mujibu wa Sheria ya THBUB, Sura ya 391, ambayo […]

Read More
 HISTORIA YA BENARD MEMBE

HISTORIA YA BENARD MEMBE

Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony Ntachile na Mama Cecilia John Membe. Bernard Membe ni Mmwera, na kama ilivyo desturi ya Wamwera, watoto hutumia jina la ukoo wa Mama. Hivyo […]

Read More