TAIFA LIMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA MIAKA 61 YA MUUNGANO-MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Tanzania ni Taifa lililopata mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali za maendeleo katika kipindi cha miaka 61 ya Muungano. Amesema hayo leo (Ijumaa, Aprili 25, 2025) wakati akizungumza na maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Getrude Mongela. Mheshimiwa Majaliwa amefanya […]
Read More