DKT. NCHEMBA ATOA AGIZO LA KUTAFUTA SULUHU YA UPUNGUFU WA DOLA ZA MAREKANI KATIKA SOKO LA FEDHA

DKT. NCHEMBA ATOA AGIZO LA KUTAFUTA SULUHU YA UPUNGUFU WA DOLA ZA MAREKANI KATIKA SOKO LA FEDHA

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaagiza wataalamu wa Wizara ya Fedha na Mipango na ujumbe kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kujadili namna ya kushughulikia athari za upungufu wa dola za Kimarekani katika mzunguko wa fedha ili kunusuru uchumi wa nchi zinazoendelea. Mhe. Dkt. Nchemba (Mb) ametoa maagizo […]

Read More
 MSIGWA:NDEGE KUBWA YA MZIGO KUWASILI NCHINI JUNI 3

MSIGWA:NDEGE KUBWA YA MZIGO KUWASILI NCHINI JUNI 3

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ndege ya mizigo inatarajia kufika nchini Juni 3 mwaka huu na kuwa Juni 1, 2023, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Makame Mbarawa atazungumza na waandishi wa habari kuhusu upokeaji wa ndege hiyo. Amesema hayo leo Mei 31, 2023 katika […]

Read More
 MAJALIWA: WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA

MAJALIWA: WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Watanzania kutumia nishati mbadala kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Serikali imeunda kamati ya kitaifa kutoa elimu na kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala. Waziri Mkuu pia amewataka wajasiriamali kutumia rasilimali za ndani kuzalisha nishati mbadala. Amesifu jitihada za Wakala wa Umeme Vijijini (REA) katika […]

Read More
 MAJADILIANO YA KINA: WAZIRI MKUU BUNGENI

MAJADILIANO YA KINA: WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, alishiriki vikao vya Bunge jijini Dodoma na kufanya mazungumzo na mawaziri kadhaa. Miongoni mwa mazungumzo hayo, Waziri Mkuu alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stagomena Tax, ambaye ametoa hotuba na bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Waziri Mkuu pia alikutana […]

Read More
 MAKAMU WA RAIS AKIFUNGUA MKUTANO WA ALAT

MAKAMU WA RAIS AKIFUNGUA MKUTANO WA ALAT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuzingatia mipaka na majukumu yao katika utendaji wa kazi ili kuepusha migogoro na miingiliano isiyofaa katika kuwahudumia wananchi. Wito huo ulitolewa wakati Makamu wa Rais alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika […]

Read More