MHANDISI JOYCE KISAMO WA WIZARA YA NISHATI ATWAA TUZO YA KIMATAIFA YA LUCE 2024

MHANDISI JOYCE KISAMO WA WIZARA YA NISHATI ATWAA TUZO YA KIMATAIFA YA LUCE 2024

🔴Ni Tuzo ya kutambua mchango wa mwanamke aliyefanya vizuri katika nishati, mazingira na sekta endelevu Na. Mwandishi wetuMtanzania Mha. Joyce Kisamo kutoka Wizara ya Nishati amekua muafrika wa pili kutwaa tuzo ya LUCE ya mwanamke aliyefanya vizuri katika nishati, mazingira na sekta endelevu. Mnigeria Onyinye Anene-Nzelu ambaye ni Mkuu wa Gridi Ndogo katika Ufikiaji wa […]

Read More
 RC MAKONDA AOMBA SIKU 100 KUTEKELEZA AHADI ZAKE ZOTE.

RC MAKONDA AOMBA SIKU 100 KUTEKELEZA AHADI ZAKE ZOTE.

Mhe. Mkuu wa Mkoa Paul Christian Makonda ametoa kauli hiyo leo Mei 16 wakati alipokuwa akikabidhiwa pikipiki 20 kwaajili ya kuimarisha Ulinzi na usalama Mkoani Arusha, pikipiki ambazo zimetolewa na Benki ya Biashara ya CRDB ikiwa ni sehemu ya programu yake ya kurudisha kwenye Jamii. Mhe. Mkuu wa Mkoa amesema miongoni mwa ahadi zake ilikuwa […]

Read More
 CHATANDA AWAHIMIZA WAKANDARASI WANAWAKE KUCHANGAMKIA FURSA YA MIKOPO YA ASILIMIA 10

CHATANDA AWAHIMIZA WAKANDARASI WANAWAKE KUCHANGAMKIA FURSA YA MIKOPO YA ASILIMIA 10

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania(UWT) Ndg. Mary Chatanda amewahimiza Wakandarasi wanawake kuchangamkia Fursa ya Mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri ili waweze kuimarisha mitaji na ufanisi wa kazi zao, hatua ambayo itawawezesha kuaminiwa zaidi na hata kukabidhiwa miradi mikubwa zaidi ya kitaifa. Chatanda ameyasema hayo Leo Mei 16, 2024 wakati wa kikao cha […]

Read More
 WEKEZA KATIKA UTAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO: DKT. BITEKO

WEKEZA KATIKA UTAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO: DKT. BITEKO

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu na mchango wa utafiti wa kisayansi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na kisayansi zinazochangia kuchochea maendeleo ya nchi. Dkt. Biteko ameyasema hayo leo Mei 14, 2024 jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Makamu […]

Read More
 RC MAKONDA AANZA KUMJENGEA NYUMBA BIBI PENINA.

RC MAKONDA AANZA KUMJENGEA NYUMBA BIBI PENINA.

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameanza utekelezaji wa ahadi yake ya Kumjengea Bibi Penina Petro (70) Vyumba vitatu na sebule huko Siwandete Kata ya Kiranyi wilayani Arusha. Mhe. Mkuu wa mkoa aliahidi kumjenga nyumba Bibi huyo wakati wa kliniki yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Arusha na ndipo […]

Read More