TIJA KWA NCHI NDIYO KIPAUMBELE CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUCHAKATA NA KUSINDIKA GESI ASILIA (LNG)- DKT. BITEKO

TIJA KWA NCHI NDIYO KIPAUMBELE CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUCHAKATA NA KUSINDIKA GESI ASILIA (LNG)- DKT. BITEKO

📌 Asema kiu ya Serikali ni kuona mradi unatekelezwa ila maslahi ya Taifa ndiyo kipaumbele 📌 Alieleza Bunge hatua zinazochukuliwa na Serikali kuhamasisha ujenzi wa vituo vya gesi (CNG) na matumizi 📌 Aeleza kuhusu kuundwa kwa Timu kuangalia unafuu wa gharama za umeme kwa Wananchi 📌 Kapinga azungumzia kazi za kupeleka umeme wa Gridi Rukwa, […]

Read More
 KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA YAENDELEA KUNUFAISHA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA YAENDELEA KUNUFAISHA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Kampeni ya Msaada wa Kisheria iliyoanzishwa kwa juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja. Wananchi wa Fujoni wamepata fursa ya kufikiwa na watoa huduma za msaada wa sheria kupitia kampeni hii, ambapo waliweza kuwasilisha changamoto zao mbalimbali […]

Read More
 MAONO YA RAIS DKT. SAMIA YAMEIPAISHA SEKTA YA ANGA-MAJALIWA

MAONO YA RAIS DKT. SAMIA YAMEIPAISHA SEKTA YA ANGA-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yameiwezesha Tanzania kupiga hatua kubwa za kimaendeleo katika sekta mbalimbali ikiwemo ya Anga. Amesema hayo leo Jumatatu (Aprili 28, 2025) wakati alipofungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege kwa Ukanda wa Afrika (ACI Afrika) unaofanyika kwenye Hotel […]

Read More
 DKT. BITEKO AWASILISHA BUNGENI BAJETI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2025/2026

DKT. BITEKO AWASILISHA BUNGENI BAJETI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2025/2026

📌 Yagusa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa asilimia 96.5 📌 Upatikanaji umeme wa uhakika. Nishati Safi ya Kupikia, Uendelezaji Gesi Asilia; Baadhi ya vipaumbele vya Bajeti 📌 JNHPP, Usambazaji Umeme Vijijini na Ufikishaji Gridi Kigoma; Baadhi ya mafanikio Bajeti 2024/2025 📌 Kamati ya Bunge yaridhishwa na utekelezaji wa Bajeti ya Wizara mwaka 2024/2025 Naibu […]

Read More
 RAIS SAMIA AMEELEKEZA USHIRIKA KUJIENDESHA KIBIASHARA KULETA TIJA KWA WATANZANIA- NSEKELA

RAIS SAMIA AMEELEKEZA USHIRIKA KUJIENDESHA KIBIASHARA KULETA TIJA KWA WATANZANIA- NSEKELA

Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya ushirika nchini Tanzania AbdulMajid Musa Nsekela ameeleza kuwa dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na maelekezo yake mbalimbali yamefanikisha kutafsiriwa kwa huduma na bidhaa mbalimbali za vyama vya ushirika nchini, akisisitiza uadilifu katika kulinda na kutunza mali za Vyama vya ushirika pamoja na mtaji wa Benki […]

Read More
 TAIFA LIMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA MIAKA 61 YA MUUNGANO-MAJALIWA

TAIFA LIMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA MIAKA 61 YA MUUNGANO-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Tanzania ni Taifa lililopata mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali za maendeleo katika kipindi cha miaka 61 ya Muungano. Amesema hayo leo (Ijumaa, Aprili 25, 2025) wakati akizungumza na maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Getrude Mongela. Mheshimiwa Majaliwa amefanya […]

Read More
 RAIS SAMIA AIDHINISHA SH30BILIONI KUKARABATI BARABARA ZILIZOHARIBIWA NA MVUA

RAIS SAMIA AIDHINISHA SH30BILIONI KUKARABATI BARABARA ZILIZOHARIBIWA NA MVUA

• Ni zile zilizoharibiwa na mvua za sasa nchini• Mabilioni mengine kujenga miundombinu ya kudumu• Ulega akatisha Bunge kujionea uharibifu Morogoro• Atua na timu ya mainjinia ujenzi uwe wa viwango• Aagiza mainjinia wabaki saiti usiku na mchana Na Mwandishi Wetu, Morogoro SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni […]

Read More