PPPC YATOA MAFUNZO YA UIBUAJI WA MIRADI YA PPP GEITA
Kituo cha Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimetoa mafunzo ya uibuaji wa miradi inayoweza kutekelezwa kwa utaratibu wa PPP kwa Viongozi wa Mkoa na Halmashauri ya Manispaa ya Geita. Mafunzo hayo, yaliyotolewa na wakufunzi Dr. Abiud Bongole na Christine Kaigarula yakilengaKuelewa dhana ya PPP, Kuibua miradi yenye sifa za kutekelezwa […]
Read More