MWANAHARAKATI WA KENYA AACHIWA NA KURUDI KWAO
Mwanaharakati maarufu wa Kenya, Boniface Mwangi, ameachiwa huru na kurudishwa kwao baada ya kushikiliwa kwa siku kadhaa na vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania. Mwangi alisindikizwa kutoka Tanzania hadi Ukunda nchini Kenya na kuachiwa akiwa salama salmini. Serikali ya Kenya na familia yake wamethibitisha kurejea kwake. Mwanaharakati huyu mwenye historia ya kuhamasisha machafuko nchini […]
Read More