KANISA ANGLIKANA LASISITIZA UMUHIMU WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025

KANISA ANGLIKANA LASISITIZA UMUHIMU WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025

πŸ“Œ Askofu Mkuu Maimbo Mmdolwa ahimiza katiba ifuatwe πŸ“Œ Dkt. Biteko asema milango ya Serikali iko wazi kwa mazungumzo πŸ“Œ Asema Serikali inathamini mchango wa kanisa kwa jamii Na Mwandishi WETU , MBeya ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Mhashamu Maimbo Mmdolwa amewahimiza Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 na kuongeza kuwa nchi […]

Read More
 SERIKALI ITAENDELEA KUIAMINI NA KUIUNGA MKONO RED CROSS – DKT. BITEKO

SERIKALI ITAENDELEA KUIAMINI NA KUIUNGA MKONO RED CROSS – DKT. BITEKO

πŸ“Œ DkT Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano wa mwaka Red CrossπŸ“Œ Awataka kutembea kifua mbele kwa kazi za Kudumisha UbinadamuπŸ“Œ RED CROSS yaishukuru Serikali kwa kuungwa mkonoΒ NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuiamini na kukiunga Mkono Chama cha Msalaba mwekundu (RED CROSS) ili kiendelee kufanya kazi yake […]

Read More
 DKT. BITEKO ASHIRIKI TULIA MARATHON MBEYA

DKT. BITEKO ASHIRIKI TULIA MARATHON MBEYA

πŸ“Œ Ampongeza Dkt. Tulia kwa ubunifu na kusaidia wahitaji πŸ“Œ Wananchi 9,000 wapata bima za afya kupitia Tulia Marathon πŸ“Œ Awashukuru wadau na wasanii kwa kushiriki Tulia Marathon Na Mwandishi Wetu, Mbeya NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais […]

Read More
 WANANCHI ZAIDI YA MILIONI MBILI WAPATIWA MSAADA WA KISHERIA NA MIGOGORO ZAIDI YA ELFU TANO YATATULIWA

WANANCHI ZAIDI YA MILIONI MBILI WAPATIWA MSAADA WA KISHERIA NA MIGOGORO ZAIDI YA ELFU TANO YATATULIWA

Jumla ya wananchi 2,774,495 wakiwemo wanawake 1,390,535 na wanaume 1,381,960 wamepatiwa huduma za Msaada wa Kisheria tangu kuzinduliwa kwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa upande wa Tanzania Bara mwezi Machi 2023. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa […]

Read More
 TRA YAZINDUA TUZO YA UBUNIFU WA KUONGEZA WIGO WA KODI

TRA YAZINDUA TUZO YA UBUNIFU WA KUONGEZA WIGO WA KODI

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua Tuzo ya Ubunifu ambayo itahusisha mawazo ya Ubunifu kutoka kwa Watanzania kuhusu namna bora ya kuongeza wigo wa Kodi kwa kuainisha vyanzo vipya vya Kodi. Uzinduzi huo umefanywa tarehe 08.05.2025 Jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanislaus Nyongo wakati […]

Read More
 MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUFIKIA 75% MWAKA 2030 – DKT. BITEKO

MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUFIKIA 75% MWAKA 2030 – DKT. BITEKO

πŸ“Œ Dkt. Biteko akutana na Balozi wa Japan nchini πŸ“Œ Tanzania na Japan kuendelea kuimarisha ushirikiano wake πŸ“Œ Dkt. Biteko aishukuru Japan kufadhili mradi wa umeme Singida Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kuboresha, kuimarisha, kurahisisha na kuwezesha upatikanaji wa umeme na nishati safi […]

Read More
 “HAKUNA MKWEPA KODI ATAKAYESALIMIKA” CG MWENDA

“HAKUNA MKWEPA KODI ATAKAYESALIMIKA” CG MWENDA

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ametangaza kiama kwa Watu wanaokwepa Kodi na kutangaza Donge nono kwa watu watakaowafichua wakwepakodi na kukomboa Kodi. Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Tuzo ya Mtoa Taarifa uliofanywa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji jana tarehe 08.05.2025 Jijini Dar es […]

Read More
 TANZANIA YADHAMIRIA KUENDELEZA MAGEUZA YA KIDIGITALI KATIKA ELIMU: DKT. BITEKO

TANZANIA YADHAMIRIA KUENDELEZA MAGEUZA YA KIDIGITALI KATIKA ELIMU: DKT. BITEKO

πŸ“Œ Asema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa elimu πŸ“Œ Asema Afrika lazima iendelee kuimarisha mazingira wezeshi kwa kampuni bunifu za kidigitali Na Mwandishi wetu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wadau wa elimu barani Afrika kuendeleza mkakati na ushirikiano utakaowezesha mageuzi ya kidigitali katika sekta ya elimu. Dkt. […]

Read More