TANZANIA YAPONGEZWA NA KAMISHENI YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU
Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna Nchini ya Tanzania inavyokuza na kulinda Haki za Kiraia, Kisiasa, Kiuchumi, Kiutamaduni na Kijamii. Hayo yamewekwa bayana na Mwenyekiti wa Kamisheni hiyo Prof.Lemy Ngoy Lumbu katika Kikao cha 83 cha […]
Read More