Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa ya matukio matatu ya watu kutekwa/kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa wameuawa.
Tukio la kwanza ni tukio la Samwaja Sifael Said,miaka 22 mkazi wa Kijiji cha Chalunyangu kutoweka tangu Agosti 8,2024 katika mazingira ya kutatanisha na Agosti 23,2024 mwili wake kukutwa umefukiwa kwenye shimo huku sehemu zake za siri zikiwa zimekatwa.
Tukio la kutoweka kwake liliripotiwa katika Kituo cha Polisi Makuro na lilifunguliwa jalada na uchunguzi kuanza.
Baada ya ufuatiliaji wa kina wa Polisi zilipatikana taarifa kwa kijana ambaye walikwenda kutizama mpira na Samwaja Sifael Said (marehemu) na baada ya mpira kumalizika walipokuwa wakirejea nyumbani walikutana na vijana wawili waliomwambia twende tukanywe pombe na walipoondoka pamoja hakurejea nyumbani na ndipo ndugu zake wakafika Polisi kutoa taarifa.
Polisi walifanikiwa kuwakamata vijana hao wawili na baada ya mahojiano walieleza ni kweli walikwenda kunywa pombe na marehemu na walipokuwa wanarejea walimuua kwa kumnyonga kisha kukata sehemu zake za siri na kufukia mwili wake kwenye shimo.
Watuhumiwa hao pia walieleza walifanya hivyo baada ya kuelezwa na Mganga wa kienyeji kuwa, wakipata sehemu za siri za binadamu watakuwa matajiri. Polisi walifanikiwa kumkamata mganga huyo.
Walieleza wapo tayari kwenda kuonyesha walipofukia mwili wa marehemu.
Aidha, baada ya taratibu kufuatwa, Agosti 23,2024 watuhumiwa hao walikwenda kuonyesha walipofukia mwili wa marehemu na ufukuaji ulipofanyika mwili huo ulitambuliwa ni wa Samwaja Sifael Said aliyetoweka toka Agosti 8,2024.
Hata hivyo, baada ya wananchi kushuhudia mwili wa marehemu na kubaini watuhumiwa waliohusika waliamua kwenda nyumbani kwa mganga huyo kwa nia ya kuchoma nyumbani yake moto.
Jeshi la Polisi lilifanikiwa kutuliza vurugu hizo na kurejesha hali ya amani. Watuhumiwa wanaotuhumiwa kuhusika katika tukio hilo na wanaendelea kushikiliwa ni Selemani Shabani Nyandalu@Hango, miaka 24, Mkazi wa Chalunyangu, Saidi Haji Msanghaa @Mangu, miaka 24, Mkazi wa Kijiji cha Migungu na Kamba Kasubi, miaka 34, Mganga wa Kienyeji mkazi wa kijiji cha Migungu Mtinko.
Tukio la pili ni tukio lilitokea Jijini Dar es Salaam ambalo liliripotiwa Agosti 19,2024 kuwa, Mwanamke aitwaye Ezania Kamana Mkazi wa Tandika Maghorofani Temeke ametoweka/ametekwa.
Jeshi la Polisi kulingana na taratibu lilifungua jalada na kuanza uchunguzi. Katika uchunguzi zilipatikana taarifa kuwa mwanamke huyo alikuwa na rafiki yake wa kiume aitwaye Abdalla Miraji @ Mussa, miaka 42 Mkazi wa Sinza kwa Remmy na hawakuwa na maelewano mazuri.
Alikamatwa na alipohojiwa alikataa kuwa hafahamu alipo huyo rafiki yake. Agosti 22,2024 zilipokelewa taarifa kuwa, huko katika eneo la Silversand barabara ya mtaa wa Freedom Kunduchi kumeonekana mifuko ambayo ina viungo ambavyo vinadhaniwa ni vya binadamu.
Polisi walifika eneo hilo na kukuta mifuko minne ya sulfleti (viroba) na waliichunguza na kukuta viungo vya binadamu ambavyo ni paja moja, vipande vya mikono miwili, eneo la kifua, tako, matumbo na nguo.
Baada ya kupata viungo hivyo na mtuhumiwa kuelezwa aliamua kueleza ukweli kuwa, alimuua mpenzi wake huyo na kutenganisha mwili wake katika vipande na kwenda kuvitupa maeneo tofauti.
Agosti 23,2024 aliwaongoza askari hadi eneo la Tegeta Block D na kuwaonyesha alipotupa miguu na baadaye aliwaonyesha eneo ambalo alitupa kichwa.
Tukio la tatu lilitokea huko Jijini Tanga ambapo mtoto aitwaye Elia Elifaza @Raymond Mchome wa miaka 3 mkazi wa kitongoji cha Kwedijava Wilayani Handeni Mkoa wa Tanga alitoweka katika mazingira yasiyoeleweka toka Agosti 19,2024 alipokuwa anacheza nje ya nyumba yao.
Taarifa ilitolewa Polisi na Uchunguzi ulianza na ukafanikisha kukamatwa Jackson Elisante @ Maeda, miaka 23, mkazi wa Kwedijava eneo linalochimbwa madini aina ya dhahabu.
Baada ya kukamatwa na kuhojiwa alikubali kumchukuwa mtoto na kwamba alimkabidhi Mama yake mkubwa ambaye ameenda naye Babati Mkoa wa Manyara. Alipoulizwa alipo mtoto alieleza amempeleka Manyara. Askari waliambatana naye hadi Babati lakini alibadili kauli na kueleza mtoto huyo yupo kwa Kwedijava Handeni amemfukia ndani ya chumba anachoishi.
Walirejea Handeni na akaonyesha chini ya kitanda kwenye chumba anachoishi alikokuwa amemfukia mtoto huyo baada ya kumuua. Watuhumiwa wengine ambao wanashikiliwa kutokana na tukio hili kwa ajili ya uchunguzi zaidi ni pamoja na Sadick Lugendo, Mahiza Gumbo, Maligo Juma, Ally Mashaka, Juma Bakari, Abdulrahman Selemani na Bahati Daudi.
Jeshi la Polisi lingependa kutoa onyo kwa baadhi ya watu kuacha tabia hizi ambazo zinatokea ndani ya jamii zinazosababisha watu kudaiwa kupotea/kutekwa ambazo ni pamoja na wivu wa mapenzi, imani za kishirikina, tamaa za mali/fedha na kulipiza kisasi.
Aidha, tunatoa angalizo kwa baadhi ya watu wanaozungumzia matukio ya aina hii watumie majukwaa yao kwa ungalifu kwani sababu ni kutaka kubadilisha ukweli yanayoendelea ndani ya jamii ili kuleta taharuki na kujenga uhasama.
Tunatoa rai kwa Viongozi wa Dini, Wazee wa Kimila, Wadau mbalimbali na wananchi kwa ujumla kuona matatizo haya yanayotokea ndani ya jamii hivyo waendelee kujenga misingi bora ya kuvizuia kuanzia ngazi ya familia.
Aidha, Jeshi la Polisi ningependa kutoa taarifa juu ya Afisa wa Polisi anayetajwa kwa jina la Fatuma Kigondo kwamba uchunguzi wa kina umeshafanyika ikiwa ni pamoja na kupata maelezo ya watu mbalimbali pamoja na ya kwake na jalada limepelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka.
Jambo lingine, Jeshi la Polisi lingependa kutoa onyo kali kwa baadhi ya wananchi ambao wamekuwa na tabia ya kujichukulia sheria mikononi badala ya kufuata taratibu zilizopo za kuwasilisha malalamiko ili yapatiwe ufumbuzi kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zilizopo. Wakumbuke malalamiko au kero hata siku moja hayatatuliwi kwa njia ya kujichukulia sheria mikononi kwani kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria kwani husababisha madhara kwa maisha ya watu na mali zao.
Mfano tukio la baadhi ya wananchi la kujichukulia sheria mikononi huko Lamadi Agosti 22,2924 na kwenda kuvamia kituo cha Polisi na kuharibu mali wakumbuke ni kosa la jinai na imesababisha madhara kwa binadamu na mali na kuzuia shughuli za maendeleo kuendelea.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kwa wenye tabia kama hizo na yeyote mwenye mawazo ya kuendelea kufanya uhalifu kama huo, Jeshi la Polisi lipo imara kwani litachukuwa hatua kwa nguvu ile ile ambayo watu wa aina hiyo wanatumia katika kutekeleza uhalifu wa kujichukulia sheria mikononi.
Imetolewa na:
David A. Misime – DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma,Tanzania
123 Comments
I every time used to study piece of writing in news papers but now
as I am a user of net therefore from now I am using
net for articles, thanks to web.
DMCA ihlal raporu SEO çalışmaları, web sitemizin performansını iyileştirdi. https://www.royalelektrik.com/sehsuvarbey-elektrikci/
SEO dönüşüm oranı SEO çalışmaları sayesinde web sitemizin trafiği katlandı. https://www.royalelektrik.com/fetih-elektrikci/
I know this web site offers quality dependent articles and additional
information, is there any other web page which presents these kinds of information in quality?
доставка на дом алкоголь владивосток
I’m curious to find out what blog system you are utilizing?
I’m experiencing some minor security problems with my latest site and I would like to find something more risk-free.
Do you have any suggestions?
pastillas priligy en mexico The insurance group said nearly one fourth of U
Hi there to every one, the contents existing at this web site
are actually awesome for people knowledge, well, keep up the good work fellows.
I do not know whether it’s just me or if
everybody else experiencing problems with your blog.
It looks like some of the written text in your content are running
off the screen. Can somebody else please comment and
let me know if this is happening to them too?
This might be a problem with my browser because I’ve had this
happen before. Many thanks
Зовем открыть увлекательную вселенную кино высокого качества онлайн
– непревзойденный онлайн кинотеатр.
Наслаждаться кинолентами
в сети оптимальное решение в 2024 году.
Фильмы онлайн великолепном качестве киноновинки 2018 смотреть онлайн кинокрад
Thanks in support of sharing such a nice thought, post is nice, thats why
i have read it entirely
hi!,I love your writing so much! percentage we keep in touch extra about your
article on AOL? I require a specialist in this area to resolve my
problem. May be that’s you! Looking ahead to see you.
Thanks for finally talking about > TAARIFA YA JESHI LA POLISI, WALIOTEKWA WAKUTWA WAMEKUFA, MMOJA AKATWA VIPANDE, MMOJA ANYOFOLEWA SEHEMU ZA
SIRI – BONGO NEWS < Liked it!
Hi to every one, it’s truly a fastidious for me
to pay a quick visit this web site, it consists of helpful Information.
Přijetí hypoteční platby může být nebezpečné pokud
nemáte rádi čekání v dlouhých řadách , vyplnění vážný formuláře , a odmítnutí
úvěru na základě vašeho úvěrového skóre .
Přijímání hypoteční platby může být
problematické, pokud nemáte rádi čekání v dlouhých řadách , podávání extrémních formulářů , a odmítnutí úvěru
na základě vašeho úvěrového skóre . Přijímání hypoteční platby může
být problematické , pokud nemáte rádi čekání v dlouhých řadách , vyplnění extrémních formulářů
a odmítnutí úvěrových rozhodnutí založených na úvěrových skóre .
Nyní můžete svou hypotéku zaplatit rychle a efektivně v České republice. https://groups.google.com/g/sheasjkdcdjksaksda/c/dn6BvaTuWPQ
Your commitment to your art truly shows in your posts. Thank you for displaying a piece of your creative genius with us.
1 of the best aspects of your blog is the insight of the content you provide.
kamagra 100mg prix: kamagra 100mg prix – kamagra livraison 24h
cialis sans ordonnance: Acheter Cialis 20 mg pas cher – Cialis generique prix tadalmed.shop
kamagra en ligne: kamagra pas cher – Kamagra Commander maintenant
https://pharmafst.com/# acheter mГ©dicament en ligne sans ordonnance
pharmacies en ligne certifiГ©es pharmacie en ligne france livraison internationale pharmacie en ligne fiable pharmafst.shop
cialis generique: Cialis sans ordonnance 24h – Tadalafil 20 mg prix sans ordonnance tadalmed.shop
Kamagra Oral Jelly pas cher: kamagra 100mg prix – Kamagra pharmacie en ligne
Kamagra Commander maintenant: achat kamagra – acheter kamagra site fiable
http://tadalmed.com/# Acheter Cialis 20 mg pas cher
kamagra pas cher Kamagra pharmacie en ligne kamagra gel
kamagra livraison 24h: Acheter Kamagra site fiable – Achetez vos kamagra medicaments
Achat mГ©dicament en ligne fiable: Livraison rapide – pharmacie en ligne sans ordonnance pharmafst.com
https://tadalmed.shop/# cialis generique
kamagra 100mg prix: acheter kamagra site fiable – Kamagra Oral Jelly pas cher
pharmacie en ligne france livraison internationale: pharmacie en ligne – acheter mГ©dicament en ligne sans ordonnance pharmafst.com
cialis sans ordonnance cialis prix Pharmacie en ligne Cialis sans ordonnance tadalmed.com
Achetez vos kamagra medicaments: Kamagra Commander maintenant – Achetez vos kamagra medicaments
Pharmacie en ligne livraison Europe: Medicaments en ligne livres en 24h – acheter mГ©dicament en ligne sans ordonnance pharmafst.com
http://tadalmed.com/# cialis generique
acheter kamagra site fiable: kamagra en ligne – Kamagra Commander maintenant
Cialis sans ordonnance 24h cialis generique Acheter Cialis 20 mg pas cher tadalmed.com
kamagra pas cher: kamagra gel – kamagra gel
Cialis sans ordonnance pas cher: Acheter Cialis 20 mg pas cher – Acheter Viagra Cialis sans ordonnance tadalmed.shop
https://kamagraprix.com/# kamagra pas cher
Acheter Kamagra site fiable: kamagra gel – Kamagra pharmacie en ligne
Pharmacie sans ordonnance: pharmacie en ligne sans ordonnance – Pharmacie en ligne livraison Europe pharmafst.com
vente de mГ©dicament en ligne pharmacie en ligne pas cher pharmacie en ligne pas cher pharmafst.shop
Achat Cialis en ligne fiable: Pharmacie en ligne Cialis sans ordonnance – Tadalafil achat en ligne tadalmed.shop
http://kamagraprix.com/# kamagra 100mg prix
Achat Cialis en ligne fiable: Achat Cialis en ligne fiable – Tadalafil 20 mg prix en pharmacie tadalmed.shop
Kamagra Oral Jelly pas cher: kamagra gel – kamagra en ligne
kamagra pas cher kamagra 100mg prix acheter kamagra site fiable
pharmacie en ligne sans ordonnance: Meilleure pharmacie en ligne – Pharmacie sans ordonnance pharmafst.com
https://pharmafst.shop/# Pharmacie sans ordonnance
Cialis sans ordonnance 24h: Achat Cialis en ligne fiable – cialis generique tadalmed.shop
Cialis en ligne: Achat Cialis en ligne fiable – Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.shop
Pharmacie sans ordonnance: pharmacie en ligne pas cher – Achat mГ©dicament en ligne fiable pharmafst.com
Tadalafil 20 mg prix en pharmacie cialis prix Pharmacie en ligne Cialis sans ordonnance tadalmed.com
https://pharmafst.shop/# Pharmacie Internationale en ligne
pharmacie en ligne livraison europe: pharmacie en ligne sans ordonnance – pharmacie en ligne pas cher pharmafst.com
cialis generique: Cialis sans ordonnance 24h – Cialis sans ordonnance pas cher tadalmed.shop
Achat Cialis en ligne fiable: Tadalafil achat en ligne – cialis prix tadalmed.shop
kamagra gel: achat kamagra – acheter kamagra site fiable
Kamagra Commander maintenant kamagra livraison 24h kamagra oral jelly
https://kamagraprix.shop/# Acheter Kamagra site fiable
Kamagra pharmacie en ligne: kamagra oral jelly – kamagra gel
Acheter Cialis 20 mg pas cher: Tadalafil achat en ligne – Pharmacie en ligne Cialis sans ordonnance tadalmed.shop
https://kamagraprix.com/# kamagra en ligne
Tadalafil achat en ligne: Acheter Cialis 20 mg pas cher – Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.shop
https://kamagraprix.shop/# acheter kamagra site fiable
http://kamagraprix.com/# kamagra gel
Cialis en ligne: Cialis sans ordonnance 24h – Tadalafil achat en ligne tadalmed.shop
Tadalafil sans ordonnance en ligne: Tadalafil 20 mg prix en pharmacie – Cialis sans ordonnance pas cher tadalmed.shop
https://kamagraprix.shop/# kamagra oral jelly
acheter kamagra site fiable: achat kamagra – kamagra 100mg prix
http://tadalmed.com/# Acheter Viagra Cialis sans ordonnance
Tadalafil sans ordonnance en ligne Cialis sans ordonnance 24h Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.com
pharmacie en ligne fiable: pharmacie en ligne sans ordonnance – pharmacie en ligne fiable pharmafst.com
https://tadalmed.shop/# Tadalafil 20 mg prix sans ordonnance
Rx Express Mexico: mexico drug stores pharmacies – mexico pharmacy order online
Medicine From India: medicine courier from India to USA – medicine courier from India to USA
https://rxexpressmexico.com/# mexican online pharmacy
indian pharmacy online: indian pharmacy online – medicine courier from India to USA
Medicine From India: indian pharmacy online – indian pharmacy online shopping
medicine courier from India to USA online pharmacy india indian pharmacy online
https://rxexpressmexico.shop/# mexico pharmacies prescription drugs
top 10 online pharmacy in india: medicine courier from India to USA – medicine courier from India to USA
indian pharmacy online: Medicine From India – Medicine From India
http://medicinefromindia.com/# indian pharmacy
mexico pharmacies prescription drugs mexico pharmacies prescription drugs mexican rx online
mexico drug stores pharmacies: Rx Express Mexico – reputable mexican pharmacies online
top 10 online pharmacy in india: indian pharmacy online – medicine courier from India to USA
http://medicinefromindia.com/# indianpharmacy com
reliable canadian online pharmacy ExpressRxCanada legit canadian pharmacy
northwest canadian pharmacy: Express Rx Canada – canadadrugpharmacy com
canada drugs online reviews: Buy medicine from Canada – onlinepharmaciescanada com
https://expressrxcanada.shop/# pet meds without vet prescription canada
medicine courier from India to USA Medicine From India MedicineFromIndia
Rx Express Mexico: Rx Express Mexico – Rx Express Mexico
mexico pharmacy order online: mexico drug stores pharmacies – mexico pharmacy order online
pharmacies in canada that ship to the us: 77 canadian pharmacy – canadian pharmacy reviews
http://medicinefromindia.com/# indian pharmacy online
mexico pharmacy order online: mexico drug stores pharmacies – RxExpressMexico
indian pharmacy online shopping indian pharmacy medicine courier from India to USA
mexico drug stores pharmacies: Rx Express Mexico – Rx Express Mexico
canada cloud pharmacy: Express Rx Canada – onlinecanadianpharmacy 24
http://expressrxcanada.com/# canada drugs
canadian pharmacy price checker: Express Rx Canada – reputable canadian online pharmacies
indian pharmacy: Medicine From India – indian pharmacy
medicine courier from India to USA: medicine courier from India to USA – indian pharmacy online
Medicine From India medicine courier from India to USA medicine courier from India to USA
http://medicinefromindia.com/# Medicine From India
medicine courier from India to USA: Medicine From India – online pharmacy india
indian pharmacy indian pharmacy online shopping MedicineFromIndia
https://expressrxcanada.com/# cheapest pharmacy canada
пин ап казино официальный сайт: пин ап казино официальный сайт – пинап казино
https://vavadavhod.tech/# вавада казино
pin up azerbaycan: pinup az – pin up azerbaycan
https://vavadavhod.tech/# вавада казино
вавада зеркало: вавада – вавада зеркало
pin up pin up casino pin up az
пин ап казино официальный сайт: пин ап зеркало – пин ап зеркало
http://pinupaz.top/# pin-up casino giris
pinup az: pin-up – pin-up
пинап казино пин ап зеркало пин ап казино официальный сайт
http://pinupaz.top/# pin up casino