KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU APONGEZA HATUA UJENZI WA ENEO LA MNARA WA MASHUJAA
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Evance Antony kutoka SUMA JKT kuhusu maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Mashujaa. KATIBU MKUU Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Mashujaa unaojengwa […]
Read More