MENEJA BANDARI TANGA: BANDARI YETU IMEZALIWA UPYA, WATEJA ITUMIENI
Meneja wa Bandari ya Tanga, Masoud Athumani Mrisha akizungumza na Waandishi wa Habari Baada ya maboresho makubwa hatimaye bandari ya Tanga imeanza kupokea meli kubwa, huku shehena za mizigo pia zikiongezeka kutoka tani laki saba na nusu mpaka tani milioni 3 kwa mwaka, pia ikioneka kuanza kuichangamsha mikoa mingi ya jirani hasa ya Kaskazini.Akizungumza na […]
Read More