MHANDISI SEFF AELEZEA VIPAUMBELE VYA TARURA

Dodoma Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff ameelezea maeneo manne ya vipaumbele vya TARURA katika kusimamia ujenzi, ukarabati na matengenezo ya mtandao wa barabara za Wilaya nchini. Mhandisi Seff aliyasema hayo wakati wa uwekaji jiwe la msingi wa ujenzi wa daraja la mto Hurui wilayani Kondoa mkoani […]

Read More