RAIS DKT. SAMIA AMETEKELEZA NIA YAKE YA DHATI KATIKA KUWAFIKIA WATANZANIA WENYE MAHITAJI KUPITIA TASSAF-RIDHIWANI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na UtawalaBora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza nia yake ya dhatikatika kuwafikia Watanzania wenye mahitaji kupitia mradi wa TASAF ilikuwanusuru wananchi walio na hali duni ya maisha. Mhe. Kikwete ameyasema hayo wakati akizungumza na […]
Read More