WAZIRI DKT. CHANA ATOA MAELEKEZO MAHUSUSI KUHUSU MFUKO WA UTAMADUNI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa wito kwa Taasisi za Fedha za CRDB na NBC pamoja na Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania kutekeleza Makubaliano yaliyofikiwa katika kusaidia wadau wa Utamaduni na Sanaa. Mhe. Chana ametoa wito huo Julai 8, 2023 Jijini Dar es Salaam […]
Read More