WABUNGE KENYA WAMNG’OA GACHAGUA MADARAKANI, 281 WAPIGA KURA YA KUMKATAA
Bunge la nchi ya Kenya limefanya uamuzi wa kumfurusha Makamu wa Rais Rigathi Gachagua kupitia kura iliopigwa. Katika kura hiyo, wabunge 281 waliunga mkono hoja ya kumuondoa kiongozi huyo madarakani huku wabunge 44 wakipiga kura kupinga na mmoja akikataa kupiga kura na hivyo kufikia theluthi mbili ya kura zilizohitajikakumuondoa afisini. Gachagua anakabiliwa na tuhuma mbalimbali […]
Read More