TOP TEN BEERS IN TANZANIA: A TASTE OF TANZANIA PRIDE
Tanzania may not have an extensive list of beers, but the ones it offers are truly exceptional. Here’s a rundown of the top beers you absolutely must try when visiting Tanzania:
Read MoreTanzania may not have an extensive list of beers, but the ones it offers are truly exceptional. Here’s a rundown of the top beers you absolutely must try when visiting Tanzania:
Read MoreUMOJA wa Afrika (AU) na Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) wamemtambua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, kama vinara wa kuwapambania wavuvi wadogo Afrika, ikiwa ni mwendelezo wa Mkutano wa Kimataifa wa wavuvi wadogo uliofanyika kwa siku mbili, Mlimani City, jijini Dar […]
Read MoreOn September 28, 2024, the Terrace Lounge at Slipway transformed into a fashionista’s paradise, all thanks to the vibrant Tanzania Fashion Festival sponsored by Smirnoff. As the sun dipped below the horizon, casting a warm glow over the venue, guests began to trickle in, buzzing with excitement for what promised to be an unforgettable evening. […]
Read MoreWATU Sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wakituhumiwa mauaji ya Watu watatu akiwemo aliyekuwa mkaguzi wa ndani ‘Internal Audit’ wa Halmashauri ya (W) Korogwe Jonaisa E – Shayo. Katika tukio hilo la mauaji la tarehe 23/09/2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga ACP Almachius Mchunguzi amethibitisha na kuwataja waliouawa kuwa ni Jonaisa Edward […]
Read MoreWaziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port – Matumbulu – Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha mpango kazi utakaomuwezesha kukamilisha ujenzi […]
Read MoreNa Mwandishi Wetu, Korogwe WAKULIMA wa Chama cha ushirika cha msingi cha wakulima wadogo wa mkonge (Mgombezi Amcos) wamemchagua mwanahabari Khamis Mkotya kuwa Mwenyekiti wa Bodi. Uchaguzi huo umefanyika Septemba 21, 2024 katika eneo la Mgombezi lililopo wilayani Korogwe mkoani Tanga, ambapo wajumbe walichagua bodi mpya itakayokaa madarakani kwa kipindi cha miaka mitatu. Mkotya ambaye […]
Read MoreRaisa Said, TangaNaibu waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko ameipongeza Benki ya NMB kwa kuamua kushirikiana na serikali katika kutatua changomoto mbalimbali katika sekta ya elimu nchini. Pia amewataka wazazi na walezi Nchini kuhakikisha wanalea watoto wao katika misingi bora ili kupata viongozi bora wa kesho. Naibu […]
Read MoreWaziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara za Kilolo Mjini kwa kiwango cha Lami. Waziri Ulega ameweka jiwe hilo la msingi Wilayani Kilolo, mkoani Iringa leo Oktoba 1, 2024. Akizungumza baada ya kuweka jiwe hilo la msingi, Waziri Ulega amesema kuwa Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu […]
Read MoreWaziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufanya kikao kazi na Menejimenti pamoja na timu za ufundi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa lengo la kuboresha huduma ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Waziri Aweso ametoa rai kwa watendaji wa DAWASA kuweka […]
Read MoreNi katika jopo la wafanyabiashara mahiri wa Marekani WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa sababu 10 zinazoweza kumfaya mfanyabiashara yeyote kutoka Marekani avutiwe kuwekeza nchini. Amezitaja sababu hizo kuwa ni mahusiano imara, sera thabiti za kiuchumi, mazingira ya amani na uthabiti, nafasi ya kijiografia ya nchi, uwepo wa masoko makubwa, uwepo wa nguvu kazi ya vijana […]
Read More