NDEJEMBI AWAAGIZA MAAFISA ELIMU KUSIMAMIA UJENZI WA MIRADI YA ELIMU USIKU NA MCHANA

NDEJEMBI AWAAGIZA MAAFISA ELIMU KUSIMAMIA UJENZI WA MIRADI YA ELIMU USIKU NA MCHANA

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI), Mhe.Deogratius Ndejembi (Mb) amewaagiza Maafisa Elimu wa Mikoa naMaafisa Elimu wa Sekondari wa Halmashauri nchini kuhakikishawanasimamia ujenzi wa miradi ya elimu usiku na mchana ili ikamililikeifakapo Agosti 2023 na kuwawezesha wanafunzi wa kidato cha Tanokupata miundombinu bora ya elimu.Mhe. Ndejembi ametoa maelekezo hayo leo […]

Read More
 POLISI WA UJERUMANI, THAILAND WAJIFUNZA POLISI JAMII TANZANIA

POLISI WA UJERUMANI, THAILAND WAJIFUNZA POLISI JAMII TANZANIA

Askari Polisi kutoka Ujeruman na Thailand wametoa uzoefu wao katika maswala ya Polisi Jamii na namna ambavyo wanatoa huduma kwa jamii katika mataifa hayo ambayo yamejikita zaidi katika maswala ya Polisi Jamii.Akiongea mara baada ya mafunzo hayo Profesa Krisanaphong Poothakool, kutoka Thailand amesema Polisi awezi kufanya kazi mwenyewe bila kushirikisha jamii ambapo amebainisha kuwa Polisi […]

Read More
 WHATSAPP INAVYOOKOA MAISHA MARA

WHATSAPP INAVYOOKOA MAISHA MARA

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa katika mtandao wa www.tanzaniaweb.com Machi 3, 2023,  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari anasema kuwa, hadi takwimu za mwezi Januari  2022 ni asilimia 27 ya  Watanzania ndio wanaomiliki simu janja na kuwa malengo ya Serikali ni kuhakikisha watumiaji wa  simu janja wanafikia 100%. Ni wazi kwamba programu […]

Read More
 RAIS SAMIA KUWAREJESHEA ZAIDI YA HEKTA 74000 WANANCHI WA MBARALI BAADA YA MGOGORO WA MIAKA SABA KUISHA

RAIS SAMIA KUWAREJESHEA ZAIDI YA HEKTA 74000 WANANCHI WA MBARALI BAADA YA MGOGORO WA MIAKA SABA KUISHA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa Akizungumza katika kikao cha pamoja  baina ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Wabunge wa Mbarali, Uongozi wa CCM wilaya ya Mbarali  na Uongozi wa Hifadhi za Taifa (TANAPA) kilichofanyika eneo la Kapunga kata ya Itamboleo  wilayani Mbarali […]

Read More
 VIJANA WATAKIWA KUJITOKEZA KUPATA MAFUNZO YA FILAMU NCHINI

VIJANA WATAKIWA KUJITOKEZA KUPATA MAFUNZO YA FILAMU NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu akitoa wito kwa vijana pamoja na watu wenye hamasa kujifunza kazi ya filamu nchini wajitokeze kupata mafunzo ya filamu wanayotolewa na Maltichoice Tanzania. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu ametoa wito kwa vijana pamoja na watu wenye hamasa kujifunza […]

Read More