SACCOS YA JKCI KUTOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 20
Mwenyekiti wa JKCI SACCOS Dkt. Tulizo Shem akizungumza nawanachama wa SACCOS hiyo wakati wa mkutano mkuu uliofanyika hivi karibunikupitia taarifa za fedha za mwaka 2022 katika ukumbi wa mikutano wa Taasisihiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Mfuko wa SACCOS ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inauwezo wa kukopesha wanachama wake hadi kiasi cha shilingi […]
Read More