WAKAZI WA PEMBA WAENDELEA KUPATA HUDUMA ZA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MOYO
Afisa Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zabella Mkojera akimuuliza maswali ya uelewa wa magonjwa ya moyo mkazi wa Pemba aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya Abdulla Mzee iliyopo wilaya ya Mkoani kisiwani Pemba kwaajili ya kupata huduma za upimaji na matibabu ya moyo katika kambi ya matibabu ya moyo inayoendelea katika Hospitali […]
Read MoreWAZIRI KAIRUKI AISHUKURU TAASISI YA UTAFITI WA KIMATAIFA MATIBABU YA HENRY JACKSON KWA KUCHANGIA MAPAMBANO DHIDI YA VVU/UKIMWI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Angellah Kairuki akizungumza na Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kimataifa wa Matibabu ya Henry Jackson, Meja Generali Mstaafu Dkt. Joseph Caravalho ambaye taasisi yake inatoa mchango katika mapambano dhidi ya maambukizi ya VVU na UKIMWI. Waziri […]
Read MoreBENKI YA STANDERED CHARTERED KUKAMILISHA HATUA ZA FEDHA ZA MRADI WA SGR
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akielezea umuhimu wa Reli ya Kisasa wakati wa mkutano kati yake na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered anayesimamia nchi za Afrika na Mashariki ya Kati, Bw. Sunil Kaushal (hayupo pichani), jijini Dodoma. Benki ya Standard Chartered ipo katika hatua za mwisho za utaratibu […]
Read MoreKATIBU MKUU UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO ASISITIZA WATENDAJI SEKTA YA SANAA KUWA WABUNIFU KATIKA UTENDAJI KAZI
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (kulia)akipewa taarifa ya utendaji kazi na Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania naMtendaji Mkuu Nyakaho Mahemba (kushoto) Juni 20, 2023 jijini Dar es Salaam wakatiwa ziara ya kikazi katika wa Mfuko huo. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amewasisitiza […]
Read MoreWAZIRI TAX AWAAGA MABALOZI WA EU, UJERUMANI NA NORWAY
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kuwaaga mabalozi watatu waliokuwa wanaziwakilisha nchi zao hapa nchini baada ya kumaliza muda wao wa uwakilishi. Dkt. Tax amewaaga mabalozi hao katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Mabalozi walioagwa ni Balozi wa Jumuiya ya Umoja […]
Read MoreSERIKALI YAENDELEZA JITIHADA KUTAFUTA FULSA MIKOPO YA ELIMU YA JUU
Serikali itaendelea kutafuta fursa za Mikopo ya Elimu ya Juu kutoka kwa Wadau mbalimbali ili kuhakikisha kila muhitimu wa kidato cha sita mwenye sifa anapata mkopo kwa ajili ya kugharamia Elimu ya Juu. Kauli hiyo imetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omari Kipanga wakati akijibu swali la […]
Read MoreDKT. MSONDE ASISITIZA UADILIFU WAKATI WA MAPOKEZI YA NAIBU KATIBU MKUU MATIVILA
Naibu Katibu Mkuu (Miundombinu) wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhandisi Rogatus Mativila akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuripoti Ofisi ya Rais-TAMISEMI. Anayeshuhudia ni Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Charles Msonde. Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za MitaaDkt. Charles Msonde […]
Read MorePEMBA WAFIKIWA NA HUDUMA BOBEZI ZA MATIBABU YA MOYO
Daktari bingwa mbobezi wa magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tulizo Shemu akimwelezea mkazi wa Pemba jinsi upasuaji wa moyo wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo jinsi unavyofanyika katika Taasisi hiyo wakati wa kambi ya matibabu ya siku tano inayofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Abdulla Mzee iliyopo wilaya ya […]
Read More