KITAIFA

NAIBU WAZIRI KHAMIS KUSHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA AFRIKA

NAIBU WAZIRI KHAMIS KUSHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA AFRIKA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis
Hamza Khamis akipokea taarifa ya Mkutano wa 19 Wataalamu kutoka nchi za
Afrika mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini
Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 19 wa Baraza ka Mawaziri wa
Mazingira wa Aafrika unaotarajiwa kufanyika jijini Addis Ababa kuanzia leo
tarehe 17 hadi 18 Agosti, 2023.

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *