KITAIFA

RC CHALAMILA NDEGE MPYA BOEING B 737-9 KUWASILI MACHI 26, 2024

RC CHALAMILA NDEGE MPYA BOEING B 737-9 KUWASILI MACHI 26, 2024

RC Chalamila amesema ndege mpya ya abiria aina ya Boieng B737-9 Max ya shirika la Ndege ATCL inatarajiwa kuwasili nchini ambapo ndege hiyo inauwezo wa kubeba abilia 181 itawasili kesho kuanzia saa 4:00 asubuhi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. JK Nyerere Dar es Salaam (JNIA)

Aidha RC Chalamila ametoa rai kwa Watanzania wote hususani wakazi wa Dar es Salaam, Viongozi mbalimbali kuja kwa wingi kushuhudia mapokezi hayo.

RC Chalamila amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake kubwa za kuwekeza katika Sekta ya Anga, ndani ya miaka mitatu madarakani tayari ameshanunua ndege 3.

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *