“BAJETI KUU YA SERIKALI KUWEZESHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NA WANAWAKE” RAIS DKT SAMIA

“BAJETI KUU YA SERIKALI KUWEZESHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NA WANAWAKE” RAIS DKT SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefungua Mkutano wa Nishati Safi ya Kupikia Barani Afrika unaofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO jijini Paris, Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024. Katika hotuba yake ya ufunguzi Mheshimiwa Rais Samia amesisitiza umuhimu wa nishati safi kwa Nchi za Afrika ili kudhibiti madhara yatokanayo na […]

Read More
 RAIS DKT. SAMIA AMEDHAMIRIA KUWAINUA WANAWAKE- WAZIRI DKT.GWAJIMA

RAIS DKT. SAMIA AMEDHAMIRIA KUWAINUA WANAWAKE- WAZIRI DKT.GWAJIMA

ARUSHA: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuwainua wanawake kiuchumi kwa kuweka msingi unaochochea mabadiliko yanayojielekeza kukua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Mwanamke anayeishi […]

Read More