DKT. BITEKO AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI, AFUNGUKA KUHUSU CHANGAMOTO YA UMEME

DKT. BITEKO AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI, AFUNGUKA KUHUSU CHANGAMOTO YA UMEME

Asisitiza siasa zisiwagawe wananchi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko, leo amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo. Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo. Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dkt. Biteko amepokelewa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa […]

Read More
 NUKUU ZA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOANZA ZIARA MKOANI SONGWE, ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA

NUKUU ZA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOANZA ZIARA MKOANI SONGWE, ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA

“Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuleta fedha kwa utaratibu ili majengo yakamilike. Jengo la magonjwa ya dharura , maabara na jengo jipya, haya majengo yanaendelea kujengwa na bado yataendelea kujengwa” “Nimeanza ziara Leo kwa kuja kuona Hospitali yetu ya rufaa mkoa wa Songwe ambayo imeendelea kujengwa na nimepita huko ndani imeanza kutumika lakini viwango […]

Read More
 WAZIRI BASHUNGWA AANZA KUSHUGHULIKIA MAAGIZO YA RAIS SAMIA MKOANI MBEYA

WAZIRI BASHUNGWA AANZA KUSHUGHULIKIA MAAGIZO YA RAIS SAMIA MKOANI MBEYA

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amemkabidhi kazi ya ujenzi mkandarasi Kampuni ya China Henan Internation Cooperation Group Ltd (CHICO) atakayejenga barabara ya njia nne kutoka Igawa, Mbeya Songwe hadi Tunduma, yenye urefu wa kilometa 218 kwa kiwango cha lami huku akisisitiza kuwa barabara inayotumika kwa sasa itaachwa maalumu kwa ajili ya ujenzi wa mwendokasi. Akizungumza […]

Read More