GF YAIOMBA SERIKALI KUPITIA WIZARA ZAKE KUIUNGA MKONO, MAGARI YA HYUNDAI KUTENGENEZWA NCHINI

GF YAIOMBA SERIKALI KUPITIA WIZARA ZAKE KUIUNGA MKONO, MAGARI YA HYUNDAI KUTENGENEZWA NCHINI

Wakati maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa yakiwa yanafunguliwa leo Julai 03,2024, mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyeambatana na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan walitembelea mabanda mbali mbali kabla ya kuyafungua rasmi. Miongoni mwa makampuni yaliotembelewa na Maraisi hao ni pamoja na banda la kampuni […]

Read More
 “BAJETI KUU YA SERIKALI KUWEZESHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NA WANAWAKE” RAIS DKT SAMIA

“BAJETI KUU YA SERIKALI KUWEZESHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NA WANAWAKE” RAIS DKT SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefungua Mkutano wa Nishati Safi ya Kupikia Barani Afrika unaofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO jijini Paris, Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024. Katika hotuba yake ya ufunguzi Mheshimiwa Rais Samia amesisitiza umuhimu wa nishati safi kwa Nchi za Afrika ili kudhibiti madhara yatokanayo na […]

Read More
 BUKOMBE YASIMAMA KWA MUDA, DKT AMMWAGIA SIFA RAIS SAMIA BITEKO AWAHUTUBIA WANANCH

BUKOMBE YASIMAMA KWA MUDA, DKT AMMWAGIA SIFA RAIS SAMIA BITEKO AWAHUTUBIA WANANCH

📌 *Shule mpya 30 za msingi zajengwa* 📌 *Kila Kata wilayani Bukombe sasa ina Shule ya Sekondari* 📌 *Barabara mpya zajengwa, mtandao wafikia kilometa 1400* 📌 *Bukombe sasa ina hospitali mbili, vituo vya afya sita, zahanati 18* 📌 *Apokea Wanachama wapya wa CCM, watokea CHADEMA* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge […]

Read More