DKT. BITEKO AMTAKA MSAJILI WA HAZINA KUTOA MAELEZO

DKT. BITEKO AMTAKA MSAJILI WA HAZINA KUTOA MAELEZO

✅ Ni kutokana na ushiriki hafifu wa mashirika ya umma michezo ya SHIMMUTA ✅ Ataka Watumishi kuwa weledi, watatue matatizo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemtaka Msajili wa Hazina nchini kufikia Jumanne Asbuhi awasilishe maelezo ya kwa nini mashirika mengi ya Umma hayajashiriki Michezo ya SHIMMUTA yanayoendelea jijini Dodoma, […]

Read More