📌 Dkt. Biteko afungua Mkutano wa TAWiFA
📌 Dkt. Biteko awataka wanawake kuwekeza katika teknolojia kufikisha huduma vijijini
📌 Uwekezaji kwa wanawake si hisani ni kimkakati kwa maendeleo ya Taifa

Na Mwandishi Wetu
Wanawake nchini Tanzania wametajwa kuwa na mchango mkubwa katika Pato la Taifa ambapo takwimu zinaonesha kuwa asilimia 35 ya uchumi wa Tanzania unatokana na juhudi za wanawake ambao wanachangia asilimia 70 ya nguvu kazi ya kilimo ni wanawake hasa katika mazao ya chakula.
Mchango wa mwingine wa wanawake unajidhihirisha katika biashara, viwandani na katika huduma za kifedha kupitia utafiti uliofanywa na Chama cha Mabenki Tanzania (TBA) mwa ka 2022 umeonesha wanawake ni 47% ya wafanyakazi wote wa sekta ya fedha. Pia wanashika 10% ya nafasi za kufanya maamuzi. Vile vile, 18% wakiwa wajumbe katika bodi za wakurugenzi sawa na wastani wa wanawake wawili katika kila bodi.

Hayo yamebainishwa leo Aprili 14, 2025 jijini Dodoma na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati aliposhiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Chama cha Wanawake katika Sekta ya Fedha (TAWiFA).
Pamoja na mafaniko hayo, Dkt. Biteko ametaja changamoto zinawakabili wanawake katika sekta ya fedha kuwa ni uhaba wa upatikanaji wa mikopo yenye riba nafuu, elimu duni ya masuala ya kifedha na uchache wa nafasi za kushiriki katika maamuzi ya Sera za Fedha.
Amewanawake nchini kuzingatia misingi ya malezi kwa watoto wao kwa kuwapa nafasi sawa watoto wa kike na wa kiume ili kukabili changamoto zinazotokana na mila, desturi utamaduni.

“ Kwa kushirikiana na wadau wengine Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuchukua hatua za makusudi ili kutatua changamoto zinazomkabili mwanamke na hivyo kuchochea maendeleo” amesema Dkt. Biteko.
Amebainisha baadhi ya hatua hizo kuwa ni kuwaamini na kuwapa wanawake nafasi za juu za uongozi na maamuzi, kufanya Mapitio na Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Jinsia na Maendeleo ya Wanawake ya mwaka 2000, kuandaa miongozo mbalimbali ikiwemo Mwongozo wa Ulinzi na Usalama wa Wanawake na Vijana Vyuoni uliozinduliwa mwaka 2023 na kutoa fursa nyingine mbalimbali za kifedha na kiuchumi kwa wanawake.
Amesisitiza kuwa wanawake wanatakiwa kuwekeza zaidi katika mifumo ya kidigitali ili kuendana na mabadiliko ya kidigitali “Naomba hapa nitoe rai kwenu kuwa, mkiwa mnaendelea kutekeleza majukumu yenu, msisahau kuhusu kuwekeza katika teknolojia. Maana Dunia ya sasa inazidi kwenda zaidi katika maisha ya kidigitali. Hii itasaidia kurahisisha biashara na kufikisha huduma kwa wepesi hususan katika maeneo ya vijijini,”

Fauka ya hayo, Dkt. Biteko amesema kupitia mijadala na maazimio yatakayotolewa katika mkutano huo, zitapatikana mbinu mpya za kuongeza ushiriki wa wanawake katika sekta ya fedha na uchumi wa nchi kwa ujumla kupitia mabenki, kampuni za bima, masoko ya mitaji. Pamoja na mbinu na njia mbalimbali za fedha mtandao zinazotatua changamoto zinazomkabili mwanamke katika sekta ya fedha.
Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mhe. Hamad Chande amewapongeza wanawake nchini kwa kuanzisha Chama hicho kinacholenga kusaidia wanawake kiuchumi.
Amewahakikishia kuwa Serikali imeandaa mazingira rafiki kwa wanawake katika ukuzaji wa uchumi “ Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa kutunga sera na sheria za kiuchumi ili wanawake na makundi mbalimbali yaweze kuimarika kupitia taasisi na vyama kama hivi. Aidha, Serikali itaendelea kushirikiana nanyi ili kuimarisha TAWiFA ili kuhakikisha nafasi ya mwanamke inazidi kuwa juu katika jamii.”

Rais wa Chama cha Wanawake katika Sekta ya Fedha (TAWiFA), Fikira Ntomola amesema kuwa wanawake nchini wameendelea kujishughulisha ili kuhakikisha sekta ya fedha nchini inakuwa. Aidha, jamii inapaswa itambue uwekezaji kwa wanawake si hisani bali ni uwekezaji wa kimkakati kwa maendeleo ya Taifa.
“ Tunaahidi kufikisha elimu ya fedha kwa wanawake katika maeneo mbalimbali nchini kwa kuandaa mafunzo na warsha kwa lengo la kuongeza uwezo wa kusimamia masuala yao ya fedha na biashara,” amesema Bi. Ntomola.
Ameongeza kuwa TAWiFA imedhamiria kuleta mabadiliko chanya kuhusu ushiriki wa wanawake katika sekta ya fedha, aidha wameishukuru Serikali kwa kuendelea kuweka sera na sheria zinazochochea uchumi jumuishi na uwepo wa usawa wa kijinsia kiuchumi na kijamii.

“Tumekuwa tukiwajengea uwezo wanawake wa kuendesha biashara zao kiufanisi, kukuza biashara zao na kupanua wigo wao kuhusu sekta ya fedha,” amebainisha Bi. Ntomola.
Amewaomba wadau mbalimbali nchini kufungua milango ya fursa kwa wanawake, na kuwa TAWiFA ipo tayari kushirikiana nao kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa umma, pamoja na tafiti za kuendeleza miradi ya kusaidia wanawake ili kujenga sekta ya fedha iliyo jumuishi.
Makamu wa Rais wa Chama cha Wanawake katika Sekta ya Fedha (TAWIFA), Nangi Massawe amesema kuwa Chama hicho kinakutanisha wanawake katika sekta ya fedha ili kujenga sekta yenye usawa kwa manufaa ya Taifa.
TAWiFA kina jumla ya wanachama 204 na kimeendelea kuhakikisha wanawake wanashiriki katika sekta hiyo ili kuchochea maendeleo.
108 Comments
Great post! I really enjoyed the insights you shared. Looking forward to reading more from you!
Уважаемые дамы Рё РіРѕСЃРїРѕРґР°, предлагаем вашему вниманию флагман казино – современную онлайн-платформу, предназначенную для предоставления качественного РёРіСЂРѕРІРѕРіРѕ опыта, посредством широкого выбора РёРіСЂ, щедрых Р±РѕРЅСѓСЃРѕРІ Рё высококвалифицированной поддержки, стремящейся РЅР° обеспечение безопасных условий для всех РёРіСЂРѕРєРѕРІ, нацеленных РЅР° достижение наилучшего удовольствия Рё успеха.
Мечтаете быстро начать в мир выигрышей? Тогда! Создание аккаунта в флагман казино – это мгновенный процесс, который займет всего пару минут! Пара легких шагов, и вы сможете войти к лучшим играм и щедрым бонусам! Начните выигрывать сегодня с флагман казино!
Ищешь классном месте, чтобы поиграть и выиграть? Тогда посети флагман казино! Там тебя ждет куча игр и реальные шансы на выигрыш!
acheter kamagra site fiable: Achetez vos kamagra medicaments – acheter kamagra site fiable
Achetez vos kamagra medicaments: kamagra gel – achat kamagra
kamagra oral jelly: kamagra pas cher – Kamagra Commander maintenant
https://kamagraprix.com/# Kamagra pharmacie en ligne
Kamagra Commander maintenant kamagra gel Kamagra pharmacie en ligne
acheter kamagra site fiable: achat kamagra – kamagra pas cher
kamagra en ligne: achat kamagra – kamagra pas cher
Achat Cialis en ligne fiable Acheter Cialis 20 mg pas cher Cialis generique prix tadalmed.com
Cialis sans ordonnance 24h: cialis sans ordonnance – cialis prix tadalmed.shop
Tadalafil 20 mg prix sans ordonnance: cialis prix – Tadalafil 20 mg prix sans ordonnance tadalmed.shop
https://pharmafst.com/# pharmacie en ligne france pas cher
kamagra oral jelly kamagra oral jelly achat kamagra
achat kamagra: kamagra gel – kamagra 100mg prix
Cialis generique prix: Acheter Cialis – Acheter Cialis 20 mg pas cher tadalmed.shop
Tadalafil 20 mg prix sans ordonnance: Tadalafil 20 mg prix sans ordonnance – Cialis sans ordonnance pas cher tadalmed.shop
https://kamagraprix.com/# Achetez vos kamagra medicaments
Acheter Viagra Cialis sans ordonnance Cialis en ligne Pharmacie en ligne Cialis sans ordonnance tadalmed.com
Kamagra Commander maintenant: kamagra gel – Acheter Kamagra site fiable
Achat Cialis en ligne fiable: Acheter Viagra Cialis sans ordonnance – Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.shop
http://tadalmed.com/# Tadalafil sans ordonnance en ligne
Tadalafil sans ordonnance en ligne: Tadalafil achat en ligne – Cialis sans ordonnance pas cher tadalmed.shop
Pharmacie en ligne livraison Europe Pharmacie en ligne France Achat mГ©dicament en ligne fiable pharmafst.shop
pharmacie en ligne france livraison belgique: Meilleure pharmacie en ligne – Pharmacie en ligne livraison Europe pharmafst.com
https://pharmafst.com/# Pharmacie Internationale en ligne
pharmacie en ligne sans ordonnance: Medicaments en ligne livres en 24h – pharmacie en ligne france pas cher pharmafst.com
kamagra livraison 24h: kamagra en ligne – acheter kamagra site fiable
Acheter Kamagra site fiable Kamagra Oral Jelly pas cher acheter kamagra site fiable
http://kamagraprix.com/# kamagra oral jelly
Achat Cialis en ligne fiable: Tadalafil 20 mg prix en pharmacie – cialis sans ordonnance tadalmed.shop
Acheter Viagra Cialis sans ordonnance: Cialis sans ordonnance pas cher – Cialis en ligne tadalmed.shop
acheter kamagra site fiable: achat kamagra – kamagra oral jelly
kamagra livraison 24h: kamagra livraison 24h – achat kamagra
https://tadalmed.com/# Cialis en ligne
cialis generique Achat Cialis en ligne fiable Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.com
pharmacie en ligne pas cher: pharmacie en ligne – Pharmacie en ligne livraison Europe pharmafst.com
Pharmacie en ligne Cialis sans ordonnance: Acheter Viagra Cialis sans ordonnance – Tadalafil 20 mg prix en pharmacie tadalmed.shop
pharmacie en ligne sans ordonnance: vente de mГ©dicament en ligne – pharmacie en ligne fiable pharmafst.com
Pharmacie sans ordonnance: pharmacie en ligne france fiable – pharmacie en ligne france livraison internationale pharmafst.com
pharmacie en ligne france fiable Pharmacie en ligne France trouver un mГ©dicament en pharmacie pharmafst.shop
http://tadalmed.com/# Cialis en ligne
https://tadalmed.com/# Cialis generique prix
https://pharmafst.shop/# Achat mГ©dicament en ligne fiable
http://pharmafst.com/# vente de mГ©dicament en ligne
Kamagra pharmacie en ligne: kamagra en ligne – Kamagra Commander maintenant
acheter kamagra site fiable: Achetez vos kamagra medicaments – kamagra pas cher
https://pharmafst.shop/# п»їpharmacie en ligne france
Acheter Viagra Cialis sans ordonnance: Acheter Cialis – Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.shop
cialis sans ordonnance Tadalafil sans ordonnance en ligne cialis sans ordonnance tadalmed.com
Kamagra Oral Jelly pas cher: Kamagra Commander maintenant – Kamagra Oral Jelly pas cher
https://tadalmed.shop/# Achat Cialis en ligne fiable
medication from mexico pharmacy: mexico pharmacies prescription drugs – Rx Express Mexico
http://rxexpressmexico.com/# mexico drug stores pharmacies
Medicine From India indian pharmacy online shopping MedicineFromIndia
mexico drug stores pharmacies: mexico drug stores pharmacies – mexican rx online
Medicine From India: indian pharmacy online – medicine courier from India to USA
https://rxexpressmexico.shop/# Rx Express Mexico
mexico pharmacy order online mexico pharmacies prescription drugs mexican rx online
Rx Express Mexico: mexico drug stores pharmacies – mexico pharmacies prescription drugs
mexico drug stores pharmacies: mexican rx online – Rx Express Mexico
indian pharmacy: medicine courier from India to USA – indian pharmacy online shopping
http://expressrxcanada.com/# canadian pharmacy store
indian pharmacy: indian pharmacy paypal – MedicineFromIndia
Rx Express Mexico RxExpressMexico pharmacies in mexico that ship to usa
canada pharmacy world: Generic drugs from Canada – reputable canadian online pharmacies
mexico pharmacies prescription drugs: mexican online pharmacy – mexico drug stores pharmacies
indian pharmacy indian pharmacy online indian pharmacy online shopping
Rx Express Mexico: mexico pharmacy order online – Rx Express Mexico
Rx Express Mexico: mexican rx online – mexico pharmacy order online
https://medicinefromindia.com/# medicine courier from India to USA
buy prescription drugs from canada cheap: ExpressRxCanada – legit canadian pharmacy
indian pharmacy online MedicineFromIndia MedicineFromIndia
buy medicines online in india: Medicine From India – indianpharmacy com
canadian pharmacy india: Canadian pharmacy shipping to USA – online canadian pharmacy review
http://medicinefromindia.com/# indian pharmacy online
mexican rx online: mexico drug stores pharmacies – mexico drug stores pharmacies
Rx Express Mexico: mexico drug stores pharmacies – mexico pharmacy order online
onlinepharmaciescanada com Generic drugs from Canada best online canadian pharmacy
indian pharmacies safe: indian pharmacy – Medicine From India
https://expressrxcanada.shop/# canadian pharmacy online reviews
canadian pharmacies: ExpressRxCanada – canadian drug prices
best online canadian pharmacy: Express Rx Canada – reliable canadian pharmacy
https://rxexpressmexico.shop/# mexican online pharmacies prescription drugs
Rx Express Mexico Rx Express Mexico Rx Express Mexico
mexican rx online: mexico pharmacy order online – Rx Express Mexico
legal canadian pharmacy online: Buy medicine from Canada – safe reliable canadian pharmacy
http://rxexpressmexico.com/# mexico drug stores pharmacies
пин ап зеркало: pin up вход – пин ап вход
vavada casino vavada вавада зеркало
vavada: vavada вход – вавада официальный сайт
https://pinupaz.top/# pin-up
vavada вход: vavada – вавада зеркало
pin up az: pin up azerbaycan – pin-up casino giris
пин ап казино официальный сайт пин ап казино пин ап казино официальный сайт
http://vavadavhod.tech/# вавада официальный сайт
pin up casino: pin up casino – pinup az
pin up casino: pin-up – pin-up casino giris
пин ап зеркало пинап казино pin up вход
https://vavadavhod.tech/# вавада официальный сайт
pin up az: pin up az – pin-up
pin up: pinup az – pin up
пин ап зеркало пин ап казино пин ап казино
http://pinuprus.pro/# пин ап зеркало
пин ап зеркало: пин ап казино – пин ап зеркало
pin up casino: pin up azerbaycan – pin up az