MADONA ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI BAADA YA KUWA ICU
Mwanamuziki na Muigizaji maarufu wa Marekani, Madonna (64) ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kuwepo kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU) kwa siku kadhaa. Jumamosi iliyopita msanii huyo alikimbizwa hospitali baada ya kukutwa akiwa hajitambui. Taarifa za kuugua kwake zilitolewa na Meneja wake wa muda mrefu Guy Oseary ambaye alithibitisha kuwa msanii huyo alipatwa na maambukizi […]
Read More