MICHEZO

NABI KUJIUNGA NA KLABU HII

NABI KUJIUNGA NA KLABU HII

Aliyekuwa Kocha wa Young Africans SC, Nasreddine Nabi anahusishwa kujiunga na Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Morocco, klabu ya FAR Rabat kama kocha mkuu kuelekea msimu ujao wa 2023/24.

Dili la Nabi la kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Kaizer Chiefs limeota mbawa baada ya miamba hiyo ya Afrika Kusini kumtangaza Molefi Ntseki kama kocha mkuu klabuni hapo kufuatia kushindwa kuafikiana na mshindi huyo wa ‘domestic treble’.

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *