ULEGA ATAKA KASI UJENZI BARABARA KWENDA MAKAO MAKUU YA JWTZ
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka mkandarasi anayejenga barabara ya Kikombo – Chololo – Mapinduzi inayokwenda kwenye Makao Makuu mapya ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kukamilisha kazi hiyo ifikapo Desemba mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 16.4 kwa kiwango cha lami umekuwa ukisuasua […]
Read More