SERIKALI KUSAINI MKATABA WA UKAGUZI WA MIAMALA YA KIMATAIFA
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akijibu swali bungeni, jijini Dodoma. Serikali inatarajia kusaini mkataba ujulikanao kama (Multilateral Convention on Mutual Administrative Assistance in Tax Matters) ambao utaiwezesha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupata taarifa mbalimbali kutoka nchi 146 duniani ambazo zitasaidia katika kuongeza ufanisi wa ukaguzi wa miamala ya kimataifa. Hayo […]
Read More