MKUTANO WA NISHATI AFRIKA (M300) KUCHOCHEA MAENDELEO YA WANAAFRIKA
ðDkt. Biteko asema utachochea utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Nishati ðAhamasisha uwekezaji katika Sekta ya Nishati ð WB, AfDB zampongeza Rais Samia kuwa Kinara Sekta ya Nishati ðLengo la Tanzania kuzalisha megawati 4,000 za umeme ðNishati safi ya kupikia kupewa kipaumbele Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto […]
Read More