CHANGAMOTO YA MAJI SOKO LA KILOMBERO ARUSHA YATATULIWA, WAFANYABIASHARA WAMSHUKURU RAIS SAMIA NA GAMBO
Wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga wa Soko la Namba 68, linalofahamika kama Kilombero jijini Arusha, wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, kwa juhudi za kutatua changamoto ya maji sokoni hapo. Hii ni kupitia mradi wa uchimbaji wa kisima kipya ambacho […]
Read More